Eid Mubarak 2008

Status
Not open for further replies.

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Waungwana,

Nachukua fursa hii kwanza kuwaombea Watanzania wote popote pale walipo duniani kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa amani na pia kuwapa mkono wa Idd njema. Idd Mubaraka.
 
Waungwana,

Nachukua fursa hii kwanza kuwaombea Watanzania wote popote pale walipo duniani kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa amani na pia kuwapa mkono wa Idd njema. Idd Mubaraka.

Idd Mubarak to u too. This is Tanzania we will all live. Long live the United Republic of Tanzania.
 
Idd Mubarak kwa watanzania wote ulimwenguni, mwenyezi mungu awe pamoja nanyi kwenye shuguli zenu na familia pia.
 
sac12.JPG
Sikukuu njema...
 
On behalf of wana JF wote ningependa kuwapa MKONO WA IDDI waislam wana JF waliofunga.Inshaalah panapo uzima na Uhai siku ya Juma Tano watu watafungua. Unless wale ambao wanasubiri matangazo ya BAKWATA
77517013.jpg

Hivi ninavyoongea na nyinyi I can confirm kuwa hata JAKAYA pamoja na mengine yoote yuko njiani arudi kula Iddi Bongo.

Na katika kusherekea Iddi nashani ingekuwa bora kama mngeleta Picha zinazoendana na Iddi.
 
Mpenzi nalaidina, mpenzi wangu minalfaidhina, kwa mapenzi na furaha mpenzi wangi ninakupa mkono wa IDD, ninakupa mkono wa IDD.
 
GAME THEORY,

..Sheikh Zayed kwanini hawajengei Waislamu wa Tanzania hata hospitali moja ya rufaa?

..huu umoja wa umma wa Waislamu uko wapi jamani?

..halafu Iran wametumia 2 Billioni kuwapa silaha Hezbollah, badala ya kusomesha madaktari na mainjinia wa Kipalestina.

..hii dunia hata sijui inakwenda wapi jamani?

NB:

..EID NJEMA KWA WATANZANIA WOTE.
 
Huyo ni marehemu since 2004....

Eid njema kwa wote....
 
Masatu,

..Uislamu upo Tanzania toka zama hizooo.

..Sheikh Zayed aliyejenga msikiti mkubwa na wa anasa kiasi hicho, wakati wa uhai wake, kabla hajafariki 2004, amefanya nini kwa Waislamu wenzake wa Tanzania?

..hizi nchi za kiarabu/Kiislamu ni matajiri sana. it is about time tuanze kuwashika mashati wasaidie wenzao wa Tanzania.

..wengesaidia kujenga bonge la hospitali la rufaa bongo, kila m-Tanzania angefaidika.

..EID NJEMA KWA WATANZANIA WOTE.
 
Nachukua afasi hii kuwapongeza waisilamu kwa kukamilisha mfungo mtukufu wa Ramadhani na pia kuwatakia heri ya sikukuu wana-JF wote.

Moonsighting for Shawwal 1429
The Astronomical New Moon is on Monday, September 29, 2008 at 8:12 GMT, 4:12 am EDT, 1:12 am PDT). It will not be visible on September 29 except small possibility in Ploynesian Islands. On Tuesday, September 30, it will be visible in New Zealand Australia, Indonesia, South Asia, Africa and Americas. In North America on September 30, it can be seen in Southern belt states. So, Eidul-Fitr is expected on Wednesday, October 1, most of the world, Insha-Allah. Also, according to the criteria adopted by Fiqh Council of North America, and European Council for Fatwa and Research, the first day of Shawwal is on Wednesday, October 1, 2008, which would be after completing 30 days of Ramadan.

Moonsighting.com

Kule Nigeria wamesali leo, Saudia na UAE wametangaza idi ni kesho na nchi nyingine zilizobaki duniani itakuwa Jumatano.

Nawatakia sikukuu njema ndugu zetu wa Ansar Sunna!
 
GAME THEORY,

..Sheikh Zayed kwanini hawajengei Waislamu wa Tanzania hata hospitali moja ya rufaa?

..huu umoja wa umma wa Waislamu uko wapi jamani?

..halafu Iran wametumia 2 Billioni kuwapa silaha Hezbollah, badala ya kusomesha madaktari na mainjinia wa Kipalestina.

..hii dunia hata sijui inakwenda wapi jamani?

NB:

..EID NJEMA KWA WATANZANIA WOTE.

duh! hivi huu ndio upeo wako wa kufiri ulikofikia au?

yaani umeshindwa kuja na data kusupport allegations zako halafu unamalizia kuwatakia waislam iddi njema

ndio nini hasa?
 
I wish you ALL a very happy and peaceful Eid. May Allah accept your good deeds, forgive your transgressions and ease the suffering of all peoples around the globe.Eid Mubarik
 
Game-Theory,

..wametumia zaidi ya usd 500 million kujenga huo msikiti.

..its about time we call out these ppl, kusaidia miradi ya kijamii kwa umma wa Waislamu around the world.

..sasa kama unafahamu kwamba wana-spend zaidi ya usd 500 million kusaidia wenzao tuletee hizo data na mimi natafuta kauli yangu.
 
Kwa waislamu wa UK, kwa mujibu wa kituo cha TV cha Islam Channel, Eid ni kesho. Hongereni wote mliojaaliwa kufunga, mola awakubalie funga zenu na mema ya ramadhan myaendeleze- Hongereni!
 
Baraka za Idd,ndugu zangu.
Mshereheke kwa amani,wapendwa wangu.
Natumuombe Manani,azipoke toba zetu.
 
Game-Theory,

..wametumia zaidi ya usd 500 million kujenga huo msikiti.

..its about time we call out these ppl, kusaidia miradi ya kijamii kwa umma wa Waislamu around the world.

..sasa kama unafahamu kwamba wana-spend zaidi ya usd 500 million kusaidia wenzao tuletee hizo data na mimi natafuta kauli yangu.

duh

haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom