Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
- Thread starter
- #21
Jamaa karudi home usiku wa manane. Moja kwa moja akazama chumbani, akafunua blanketi, akaiona miguu minne badala ya miwili aliyozoea. Jamaa akafunika blanketi taaratibu, akachukua bonge la
rungu, akaitwanga ile miguu kwa nguvu zote halafu akaelekea sebuleni kutuliza hasira. Kutahamaki akamkuta mkewe amejipumzisha sebuleni. Mkewe akamwambia: Wazazi wako wamekuja leo
kututembelea, nimewaachia
chumba chetu walale