Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,191
Hivi ulikuwa serious kweli?Hii mechi tunashinda, mtaona!
Hivi ulikuwa serious kweli?Hii mechi tunashinda, mtaona!
Majukumu ya kocha wa soka huwa yanaanzia katika uteuzi wa kikosi, sasa wewe umemtetea katika majukumu yake ya ufundishaji tu. Maximo hawezi kukwepa lawama, hela zinazotolewa katika kuandaa timu ya taifa ni nyingi kuliko katika kipindi chochote kilichopita.Tusimlaumu Maximo yeye sie anayecheza wanaocheza ni wachezaje kwani wanafunzi wanapoo fundishwa darasani wakifeli ni mwalimu au wanafuzi ndio waliofeli???
Tusimlaumu Maximo yeye sie anayecheza wanaocheza ni wachezaje kwani wanafunzi wanapoo fundishwa darasani wakifeli ni mwalimu au wanafuzi ndio waliofeli???
Maximo amejitahidi sana kutufundisha ila sisi hatufundishiki bado vichwa vyetu ni butu itatuchukua muda sana kuelewa nini tunachohitaji kufanya tukiwa uwanjani, hapa hakuna cha kuwa amepanga timu ya yanga wala ya simba, tatizo jingine tff wanaingilia uhuru wa kocha wamwachie kocha achague timu kulingana na viwango vya wachezaji
Tusimlaumu Maximo yeye sie anayecheza wanaocheza ni wachezaje kwani wanafunzi wanapoo fundishwa darasani wakifeli ni mwalimu au wanafuzi ndio waliofeli???
Kuna mpira unaendelea kati ya Yetu na Masri, Tumeshafungwa moja. kama upo interested unaweza angalia kupitia link hizi hapa chini.
http://www.justin.tv/hamoda1911/popout
http://www.justin.tv/merv28/popout
Tusimlaumu Maximo yeye sie anayecheza wanaocheza ni wachezaje kwani wanafunzi wanapoo fundishwa darasani wakifeli ni mwalimu au wanafuzi ndio waliofeli???
Maximo amejitahidi sana kutufundisha ila sisi hatufundishiki bado vichwa vyetu ni butu itatuchukua muda sana kuelewa nini tunachohitaji kufanya tukiwa uwanjani, hapa hakuna cha kuwa amepanga timu ya yanga wala ya simba, tatizo jingine tff wanaingilia uhuru wa kocha wamwachie kocha achague timu kulingana na viwango vya wachezaji
Wakuu matokeop ya kweli ni yapi?
Wewe unatumia kichwa kubebea masikio...
Sasa nakupa mifano iliyo hai ambayo itakusaidia kutanua upeo wako uliolala kwa ajili ya kunywa banana wine.
Real madrid walipobolonga alitimuliwa, vicent del bosque, akaja caros quiroes nae akatimuliwa, akaja capello nae hali kadhalika, akaja juande ramos nae yaleyale, turudi kwa Liverpool nao walipoharibu walimtimua gerald houlieur, arsenal mwaka 95 walimtimua george graham, timu yangu kipenzi AC Milan tulishamtimua fatih terim, chelsea walishawatimua avram grant, ranielli na scoralli, juve wameshamtimua ranielli, inter mancini, roma sparetti nk nk nk...so jiulize kwa nini wasitimuliwe wachezaji?...kama huwezi kufuatilia soka nenda kadili na siasa za CCM kwani kule ndo mtu anaboronga kisha anasafishwa.
Watanzania tutaumia sana kama atutafuatia alphabet za mpira kuanzia ngazi za chini, mimi nimesikitishwa sana kuona nchi kama Malawi wanashiriki katika kombe la DUNIA chini ya miaka 17 sisi tupo tu tunang'amg'ania timu za wakubwa baada kwanza kuanzia na timu za chini
Yaani sie kwa masri bwana kama mbwa kwa chatu,hata timu zetu uwa zikitia maguu tuu masri ni tano,ni simba tuu ambayo uwa inawatoa jasho hawa waarabu labda ni kwa sababu katika historia yao kuna kauarabu kidogo.
Hawachezi mpaka wakasomewe ALBADIR UNGUJA hapo hooo utawaona mastaa maana jana huyo JJ na MGOSI walikuwa kituko uwanjaniI saw the game. Ni kama vile tumewapotezea muda wao na pesa zao kwa ajili ya maandalizi. There was almost no competition!. Ni kama vile Misri walikuwa wanacheza na watu wanaojifunza mpira. Golikipa ndio kabisa alikuwa disaster! Hivi kumbe mnapopiga kelele oh Simba wanacheza mpira mzuri, mpira wenyewe ndio dizaini hii? mbona kichekesho! We have a very long way to go!
sikuhizi umeanza uganga??Leo kichapa tu kwa Mafalo tena wamejipendekeza kuwafuata huko huko Golikipa atakuwa nani yule aliye hongwa na Simba Shaban Dihile wa JKT leo atakunywa nyingi si chini ya 5.