tunaonana kidogo sasa
We Need Ivo Mapunda
We Need Ahmad Amasha
We Need Jelah Mtagwa
Hahahahahahahahaha sababu mlima!
Tatizo Maximo kapanga kanda2 watupu! waliofungwa hapa Yanga wala sio stars ngoja nikate laga yangu mie aaah ishakuwa taabu
Tutajie kikosi kikoje basi
Kwani mtanange uko saa ngapi mkuu,ama umeshaanza???
Stars wamekomaa sana kipindi cha pili!
Dak 42 jamaa wanachapa goli la tano hahahahahaha 5-1
Unajua tunacheza na timu B sasa jamaa wamebadili wachezaji karibu wote wa kipindi cha kwanza. Vinginevyo ingeshakuwa double digit
Hahahahah najichekea tu jamaa wametupiga mkono.....! Wacha nishabikie Chelsea sina uzalendo kwa soka letu
Nafikiri Hassan Shehata aliona kuwa hakuna haja ya kuchezesha mashine zake na kuutusi mchezo wa soka kwa kumpiga mtu double digits. Ila Kipindi cha pili tumeonesha uhai fulani.