Mfano Slaa, PhD ya Kanoni bila kuwa na digrii hata ya kufutia machozi. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Tafadhali usituharibie jukwaa letu kama unahitaji kujadili siasa,nenda kwenye jukwaa husika.
dogodogo91 acha uvivu wa kusoma! Hebu google utapata maelezo ya kutosha kuhusu "ego".hyo ego ndo nn???
Mkuu inaonyesha zaidi ya robo tatu ya fikra zako ziko occupied na Dr. Slaa,ni dhahiri ni mtu muhimu sana kwako,kika jambo unaloliandika hapa lazima umhusishe. naamini asingekuwa muhimu sana kwako usingehangaika hivyo!
Tafadhali usituharibie jukwaa letu kama unahitaji kujadili siasa,nenda kwenye jukwaa husika.
Hii ni siasa?Mfano Slaa, PhD ya Kanoni bila kuwa na digrii hata ya kufutia machozi.
Mfano Slaa, PhD ya Kanoni bila kuwa na digrii hata ya kufutia machozi. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Mfano Slaa, PhD ya Kanoni bila kuwa na digrii hata ya kufutia machozi. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Kwani Dr.Slaa akiongea,akaja na Dr.somebody else akaongea utofauti utatokea wapi???
Dr.Slaa kichwa,huwezi kumlinganisha na hao wenye degree(s) unaowafahamu!