nsinte mbwa
Member
- Sep 17, 2015
- 7
- 0
Mhh! Unamuamini Sefue? Ukali kaupata lini? Mbona akiwa na mkwere alikuwa paka mororo!
Sefue kwani alikua hajui uozo wa awamu ya nne? Alafu Leo anajidai mkali watu kama hawa niwakupiga chini.
Mhh! Unamuamini Sefue? Ukali kaupata lini? Mbona akiwa na mkwere alikuwa paka mororo!
Didy.Ombeni sefue katumbua jipu zito ITV jamani
Kumbe ile kampuni iliyotupiga ikishirikiana na Stanbic bank wahusika ni Harry Kitilya aliyekuwa kamishina mkuu wa TRA na Mboya. Sasa ukitaka kujua dunia haramu +na yule miss utaelewa sasa na yeye aliingizwaje!!
Mh. Magufuli, kurudishiwa hela haisaidii tunataka walioohongwa wafungwe waende ndani.
SFO wametaja waliohusika ni mzee wetu H. Kitilya na Mboya. Kuweka nchi iwe na adabu wapelekwe mahakamani na kesi isikae mizezi 3.
Na kama wao wana ama walitumika kama middleman wasema top nani.
Afadhali mentor wangu Chenge hayupo.
Kwanza nampongeza Kitilya kufungua consultancy baada ya kustaafu na sio kwenda kulima au kufuga ngombe na kuku!, ili at such senior position, ukistaafu unaendelea kufanya kazi za brain power!.
Pasco
Usaha ulimrukia mwenyewe usoni.kimyaaaa ana vimeo kama vitatu na vyote amezusha yeye
Sefue kwani alikua hajui uozo wa awamu ya nne? Alafu Leo anajidai mkali watu kama hawa niwakupiga chini.
Real? pole mkuu
wakati huo sefue alikuwa ubalozini marekani angezionaje?
Aisee hii nchi sio kabisa..Kuna mmiliki mmoja wa Hiyo kampuni ni marehemu,kila nikiona SFO namkumbuka kamanda Yericko Nyerere alivyotumbua jipu la ? 1.5m
Mboya huyoooKuna mmiliki mmoja wa Hiyo kampuni ni marehemu,kila nikiona SFO namkumbuka kamanda Yericko Nyerere alivyotumbua jipu la ? 1.5m