Razorblade ndio kiboko yako mkuu πMatokeo ya Gasparini Day haya hapa...
Mechi ya pili game iliishia njian mtandao wangu ulikata...
Ila nimefungwa moja na Mungu siaidia nikapata sara mojaπππView attachment 3322243
Leo usiku tupandeMatokeo ya Gasparini Day haya hapa...
Mechi ya pili game iliishia njian mtandao wangu ulikata...
Ila nimefungwa moja na Mungu siaidia nikapata sara mojaπππView attachment 3322243
Siyo mimi mkuu ni Drogba π.Razorblade ndio kiboko yako mkuu π
Ni mwendo wa pre season.Baada ya kuchukua madini ya chatgp nikaja na hii ,jioni tangia pre season
Ngoja tuguse usiku. Ila Drogba linaruka balaa halafu lina nguvuππSiyo mimi mkuu ni Drogba π.
Usiku tuguse mkuu unielekeza kutumia vizuri LBC.
Huyo Nesta anakaba mpaka kivuliπBaada ya kuchukua madini ya chatgp nikaja na hii ,jioni tangia pre season
Next game nitaweka smart assist na mimiπππalafu nitaleta matokeo...Razorblade ndio kiboko yako mkuu π
Sawaa sawaa mkuuπLeo usiku tupande
Huyo Drogba hapana aseee hiyo striker instincts itanisumbua sana π€£π€£Siyo mimi mkuu ni Drogba π.
Usiku tuguse mkuu unielekeza kutumia vizuri LBC.
Una kikosi ninachokihitaji kabisaπ€©π€©π€©π€©Baada ya kuchukua madini ya chatgp nikaja na hii ,jioni tangia pre season
Hapo huwa namuweka odegard au neymar ,ila chatgp ime suggest nitumie hole prayer ambao kwangu ni mbappe na Bellingham, ngoja nione asipo kua na effect atakaa BellinghamUna kikosi ninachokihitaji kabisaπ€©π€©π€©π€©
Sema hapo mbappe kwa ushauri wangu bora ungemweka namba 10 asilia kama Bellingham, odegard au KDB
Ila hasa hasa Bellingham
Ni destroyer na kuna rudiger beki ngumu hizii π πHuyo Nesta anakaba mpaka kivuliπ
Bellingham hapo penyewe na huo mfumo anafit kabisaHapo huwa namuweka odegard au neymar ,ila chatgp ime suggest nitumie hole prayer ambao kwangu ni mbappe na Bellingham, ngoja nione asipo kua na effect atakaa Bellingham
Bado hajaanza kuruka sana mkuu namsubiri Serginho π.Ngoja tuguse usiku. Ila Drogba linaruka balaa halafu lina nguvuππ
Ushindi wako ni kupata goli mkuu, ngoja usiku nipate course ya LBC kutoka kwa master NEGAN π.Next game nitaweka smart assist na mimiπππalafu nitaleta matokeo...
Nitamkamia ipasavyo
Jana nimetumia QC peke yake nasubiri nipate course ya LBC kisha nije nayo nikubamize tena na smart assist yako π.Kama upo twende...ππ
Nipo na smart assist sasa
Nataka ukiwa unajifunza LBC Ujifunze kwa uchungu kwakuwa QC hautoniweza tenaJana nimetumia QC peke yake nasubiri nipate course ya LBC kisha nije nayo nikubamize tena na smart assist yako π.