Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,882
- 12,255
Mkuu nakupasua na huo mfumo wako ngoja uone ๐.Unamjua lakn pedri kaka pedri Gonzalez๐๐๐
Sawaa kaka๐๐๐Mkuu nakupasua na huo mfumo wako ngoja uone ๐.
Hahaha hizi sha tumia hadi coins 900 kama mala 2 naambulia 73,76Dah hiii show time ya kibabe ila kupata hata mmoja hapa ni bahati.
View attachment 3321645
View attachment 3321647
Dvn unacheza ya AI ? Mbona match nyingi sanaaa kupandaWakuu mna uhakika kuwa hii Efootball league Ai sio wafanyakazi wa konami wanapokezana kucheza๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Nimesema leo nicheze nipande division 2 nimekula vipigo game zote๐๐๐
Wale wachezaji wenye booster ya kijan kakaJana nilkua nasoma 3127 leo after ku update nimeshuka 3125 tatizo nini
Nishafika division 3Dvn unacheza ya AI ? Mbona match nyingi sanaaa kupanda
Asee booster ina expire date kumbeWale wachezaji wenye booster ya kijan kaka
Oya mimi imenishinda ๐๐Wakuu mna uhakika kuwa hii Efootball league Ai sio wafanyakazi wa konami wanapokezana kucheza๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Nimesema leo nicheze nipande division 2 nimekula vipigo game zote๐๐๐
Nimekwama div 2 mechi 30 nipo 1600 sipandi 1700 ๐Nishafika division 3
Niliona match nyingi sana ,nakomaa na watu wa kawaidaNishafika division 3
Hapana sio expire date inategemeana na form ya mchezaji husika week hiyo...Asee booster ina expire date kumbe
Amna kam ukutane na kikosi cha mtu ana lamine Yamal hesabu maumivu๐คฃ๐คฃ๐คฃOya mimi imenishinda ๐๐
Me division 3 tu imenisumbua๐๐๐Nimekwama div 2 mechi 30 nipo 1600 sipandi 1700 ๐
Mtarudi tu kwenye PvP ๐.Oya mimi imenishinda ๐๐
Pole sana mkuu.Hahaha hizi sha tumia hadi coins 900 kama mala 2 naambulia 73,76
Hatuna jinsi mkuu๐๐Mtarudi tu kwenye PvP ๐.
Mimi niliwaambia konami siyo wajinga ๐.Hatuna jinsi mkuu๐๐