eFootball Special Thread

Inanisumbua kwenye transition kutoka kukaba kwenda kushambulia...

Naona mara nyingi messi anakuwa sehemu sio sahihi kwa hiyo napoteza mipira...

Ngoja nimaster 4222
Ungekomaa kumaster 4-3-1-2, night nitakufanya uachane na 4-2-2-2 πŸ˜‚.
 
Kabla hatujaingia uwanjani tayari umeisha πŸ˜‚, nikitumia LBC kwa hizo nafasi kwenye flanks utakimbia ila QC inatosha kutumia hizo flanks πŸ˜‚.
Unamjua lakn pedri kaka pedri GonzalezπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…