eFootball Special Thread

😅unaweza toa tusi kwa sauti, hii tabia anayo wife akiona niko bussy ana piga piga ani haribie
Hiyo siku niliweka do not disturb ila cha ajabu simu iliita ikakwama nikapokonywa mpira nikafungwa ngoma natafuta sare lakini wapi, mechi ya pili mtu akapiga tena network ikakata halafu ndo naongoza 😂.
 
Ina kera sana
 
😅mbona kikosi kipo sawa kabisa me na 3127 sio mbali
Kaka ni kazi hapo penyewe nipo exhausted alafu kuna card kama za Neymar wa Santos hazipatikan tena pamoja na Villa wa 104 nawakubali kinoma pia kuna Anchorman Pale ambae me nahaha kumpata 😃😃😃ndo maana nimeingia majaribuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…