Haha sijawahi kufikiria kununua kikosi wala kununua zile coins kwa cash ,ila naona bora utengeneze maana hata uyu mwenye 3160 bado sio kubwa kiivyo uki kutana nae una mchapa vizuri tu .Wakuu kikosi hiki kinauzwa 26K...
Vip mwenye uzoefu n vikosi vya kununua...
Muda wa kutengeza kikos mimi sina.. ila hichi nimekipenda
Cc NEGAN Razorblade Edo kissy Mr Devil et al
View attachment 3320787
Sawaa kaka ngoja nipambane kuchukua...Hicho kikosi kizuri kama anaamika chukua chap.
Sababu: kimekamilika kila idara kina rare cards kama Suarez, Ben white,Costacurta , Cafu na Santos Neymar.Tchouameni.
Hata utengeze kikosi itakuchua zaidi ya miaka 2 kutengeneza kikosi kama iko
Shida ni muda wa kufikia huko ndo nakosaHaha sijawahi kufikiria kununua kikosi wala kununua zile coins kwa cash ,ila naona bora utengeneze maana hata uyu mwenye 3160 bado sio kubwa kiivyo uki kutana nae una mchapa vizuri tu .
Tuone kikosi chakoShida ni muda wa kufikia huko ndo nakosa
Kuwa makini matapeli wengi. Usilipe kabla hujabadili email, KONAMJ IDSawaa kaka ngoja nipambane kuchukua...
Kama unamuamini na kwa hiyo bei chukua chap mkuu😂 au nichukue mimi😂.Wakuu kikosi hiki kinauzwa 26K...
Vip mwenye uzoefu n vikosi vya kununua...
Muda wa kutengeza kikos mimi sina.. ila hichi nimekipenda
Cc NEGAN Razorblade Edo kissy Mr Devil et al
View attachment 3320787
Hapo uhakika ni kushinda game 4 mfululizo.Haijaisha mpka iishe ndo maana me nasema hata nifungwe saba siquit game
Game tatu au nne hapo ukishinds unafika division 2
Mhhh sikushauri labla mtu unayejuana naye tena mkutane physical, Zaidi ya hapo kilioWakuu kikosi hiki kinauzwa 26K...
Vip mwenye uzoefu n vikosi vya kununua...
Muda wa kutengeza kikos mimi sina.. ila hichi nimekipenda
Cc NEGAN Razorblade Edo kissy Mr Devil et al
View attachment 3320787
Sawaa mkuuKuwa makini matapeli wengi. Usilipe kabla hujabadili email, KONAMJ ID
Nilitaka nipate maoni ya wadau kwanza kabla sijaanza mchakato wa kukipata kikosi...Kama unamuamini na kwa hiyo bei chukua chap mkuu😂 au nichukue mimi😂.
Mapema tuu😃Hapo uhakika ni kushinda game 4 mfululizo.
Sawaa mkuu nitakuwa nae makiniMhhh sikushauri labla mtu unayejuana naye tena mkutane physical, Zaidi ya hapo kilio
Mkuu umepotea sana jukwaani...Nipo dvsn 3 AI ,imefikia hatua Sasa kushinda mechi mbili mfululizo ni kipengele🤣🤣
Nakuonaga online nikituma request sioni ukiingia match roomMkuu umepotea sana jukwaani...
Ai saiv ni Balaa me mpk walinibakiza division 4 kisa point moja
Mzee napigwa script mzee sio poaMkuu umepotea sana jukwaani...
Ai saiv ni Balaa me mpk walinibakiza division 4 kisa point moja
Mkuu net ilikuwa majanga kwangu siku ngapi hizi zilikuwa hazifiki maana sijazionaNakuonaga online nikituma request sioni ukiingia match room
😃😃😃Hilo ni janga la TaifaMzee napigwa script mzee sio poa