eFootball Special Thread


Pre season inafaida aise 😂, hakuna kuhangaika tena kupata selection booster.

Ni mwendo wa kununua wachezaji kwenye Nominating Contract na kuwarelease.

Tayari nishamalizana na Drogba ✅
 
NEGAN naomba mechi siku ya alhamisi na nitatumia LBC, bado inanipa wakati mgumu kwahiyo nataka mechi ili uje nielekeza makosa na namna ya kutumia vizuri LBC (MECHI 2).

Selikavu nawe pia naomba mechi siku hiyohiyo, nataka nipime kama nimeongeza kitu kwenye QC au sijaongeza (MECHI 2).

Mechi na NEGAN nitaingia uwanjani kama mwanafunzi kwenye LBC, mechi na Selikavu nitaingia uwanjani kwaajili ya G. P. G DAY.

Selikavu jiandae kwa G. P. G DAY 😂.
 
Sawaa kaka nitakuwepo😃😃😃... Tuombe uzima tuu
 
Mnapiga Alonso derby na Selikavu 😃
 
Kaka kuna mmoja nimekutana nae anacheza possession game ni balaaa na hatumii hata padi...

Nimefungwa game zote sana za friendly leo...
Wapo mkuu na ukijichanganya umeisha ila kumfunga mtu anaetumia possession ni rahisi ikiwa utakuwa mtumiaji mzuri wa QC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…