Na vile ulichukua ureno ππUmepewa posho uje utushawishi
Kwamb saiz hizo level na sisi haupo kabsa?ππMkuu nkirudi sichezi bure ππ andaeni stake .
Ni njia ya kuwatoza ada maana mnakwepa kulipia mafunzo ππKwamb saiz hizo level na sisi haupo kabsa?ππ
Hiyo pack ya ufaransa nimeona Ina uzuri huuKwann mkuu
Nmejibu apo hoja zangu hahahahaUmepewa posho uje utushawishi
Hahahaha pole yake....pack ya ufaransa ipo vyema sana alafu Ronaldo tumempata pale kwenye world championship daily eventNa vile ulichukua ureno ππ
We unacard zako unapenda kutumiaHahahaha pole yake....pack ya ufaransa ipo vyema sana alafu Ronaldo tumempata pale kwenye world championship daily event
Hahahaha marobot wazito wazito sio ? HWe unacard zako unapenda kutumia
We balaa ni vile huwa unakutana na uchawi wa kusiniHahahaha marobot wazito wazito sio ? H
Naweza nikabeba na hiyo coins mm sio shida zanguNa vile ulichukua ureno ππ
Kwa wewe hap sawaπAje anifunze kukaba bila tackling π
Onyesha jeuri ya coins kijana, naandaa mkeka mwingine nipite na pack ya ufaransa kwaajili ya kocha tu.Naweza nikabeba na hiyo coins mm sio shida zangu
π€£π€£π€£π€£Onyesha jeuri ya coins kijana, naandaa mkeka mwingine nipite na pack ya ufaransa kwaajili ya kocha tu.
Onyesha jeuri ππ€£π€£π€£π€£
Ushaanza kujipa likizo sioπ
Nyie noobs