eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Warld utanitrain night mkuu net haiko stable, niilikua namteja pia.
Mkuu mtu anaecheza na wewe wala hasumbuki ..

- Anauhakika wa kudrible kutoka goli kwake hadi kwako na akakufunga bila kutoa pass.

- Anauhakika wa kupiga nje ya box maana hutii pressure.

- Short corner unafungwa kirahisi .

-Ukipora mpira unaanza kuload kwa kuupeleka.

- Ronaldo umempa counter target hivo hafanyi pressing.
 
Embu twende
 
Unipe na mimi notes zangu😃😃
 
Sina maisha sasahivi nipo nipo tu.
 
Division nimepigwa mechi tano leo kumenikataa
Huko balaa
Screenshot_20260620-144105.png
 
Attachments

  • Screenshot_20260620-144114.png
    Screenshot_20260620-144114.png
    354 KB · Views: 1
Back
Top Bottom