Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,888
- 12,260
Unataka wavunja kuni.Maana mchango wao ni mdogo sana ambao ni kwenye kushambulia pekee
Kesho asubuhi turuke
Bado hujasemaView attachment 3610841
Siku zote napokutana na hiyo kijani kwenye profile ya opponent huwa najiuliza hii verified amepataje. Kumbe ni alama ya SA π
View attachment 3610843
Baada ya hizo losses nikasema niende kuwasha SA ndo kukutana na hiyo alama ya kijani ikabidi niwashe ndo kupata hiyo win, Warld nipokee niwe mwanafunzi wako kwenye SA ππ
Eeh hasa nikimpata gullit baasiUnataka wavunja kuni.
Tayari nimecheza game 8 win 2 za SA, aliyejuu mfaate hukohuko mambo ya mngojee chinu yashafeli πBado hujasema
Anzisha na safari ya kusave GPπ€£Safari ya kusave coin inaendeleaView attachment 3610829
DohπView attachment 3610841
Siku zote napokutana na hiyo kijani kwenye profile ya opponent huwa najiuliza hii verified amepataje. Kumbe ni alama ya SA π
View attachment 3610843
Baada ya hizo losses nikasema niende kuwasha SA ndo kukutana na hiyo alama ya kijani ikabidi niwashe ndo kupata hiyo win, Warld nipokee niwe mwanafunzi wako kwenye SA ππ
Ngoja niwastueWakuu nani yupo tumalize kiporo cha ligi
Siwezi hizo natrain kila mudaπAnzisha na safari ya kusave GPπ€£
Asubuhi hii jau kaka, Nitakuwa free mchana kwanzia saa 9 kaka.Kesho asubuhi turuke
Poa Mchana tutapiga mkaliAsubuhi hii jau kaka, Nitakuwa free mchana kwanzia saa 9 kaka.
nia yako Selikavu awe bingwa