eFootball Special Thread

Kwakwel me nataka mwenye booster mbili kwa sasa wa QC
Napenda kocha mwenye playstyle 2 inakuwa rahisi kwangu kubadirisha endapo nitazidiwa ila makocha wengi wanaokuja na booster 2 wanakuwa na playstyle 1.

Akitokea kocha mwenye booster 2 halafu anatumia playstyle 2(QC & LBC) nitapambana nimpate.
 
Wa booster 2 wanauzwa 1500 wanakuja na squad kama Arsenal,Bayern
Hawa Efootball sijui wanasoma minds zetu nahitaji anchorman wa 100 lakin hawaleti😃😃😃

Solution hapa ni kununua kocha atakayekuja na squad yote kama akiwa na Anchorman
 
Huyu babu fundi nyie, natumia AI controlled kuangalia namna mbinu zake zinavyofanya kazi daah ni balaa sijui nikicheza mwenyewe kama nitakuwa na ufanisi ule 😂.
Ai na wewe ni vitu vitano tofauti...

Alafu huwa unatumia Smart Assist eeh kwenye game za live??
 
Tangu nimchukue Gesperin nilikuwa nahangaika kutafuta mfumo ambao utakuwa na ufanisi zaidi katika playstyle zote(QC & LBC), bahati mbaya mfumo wenye huo ufanisi ulikuwepo kwenye update ya 2023 na sasahivi haupo.

4-1-3-2 ndo mfumo wenye ufanisi zaidi kwa QC na LBC, unakupa idadi kubwa kwenye kushambulia na kuzuia pia.

Imenibidi kuutengeneza mwenyewe na nimeujaribu mara kadhaa kupitia AI Controlled na kweli huu mfumo uko vizuri sana kwa hizo playstyle.

Hii ndiyo raha ya pre seoson 😂.
 
Napenda kocha mwenye playstyle 2 inakuwa rahisi kwangu kubadirisha endapo nitazidiwa ila makocha wengi wanaokuja na booster 2 wanakuwa na playstyle 1.

Akitokea kocha mwenye booster 2 halafu anatumia playstyle 2(QC & LBC) nitapambana nimpate.
Wapo mkuu maana kocha anatakiwa awe na ile style zaid ya 70... Below hapo majanga..

Kwa waliopo sasa

Huyu Inzaghi angekuwa na Anchorman ningepambana nimchukue hata kwa kununua coin
 
Hapo mbele😃🤲🤲🤲🤲mola tujalie mwisho mwema
 
Hawa Efootball sijui wanasoma minds zetu nahitaji anchorman wa 100 lakin hawaleti😃😃😃

Solution hapa ni kununua kocha atakayekuja na squad yote kama akiwa na Anchorman
Anchorman utasubiri sana nilikaa miezi 3 sina Anchorman ikabidi nimnunue Rodri wa bure. Nina Anchorman 2 tu hadi sasa. Anchorman na defensive Fullbacks sio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…