Mkuu niliingia nikakukuta upo eventWakuu wote mnaangalia mechi? Nani yupo online
Wazo zuri mkuu.Edo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
πππ
View attachment 3314327
Me nipo freshWangapi wapo active na tayari kwa league?
Kama upo tupige 2Mkuu niliingia nikakukuta upo event
Nipo hapaWangapi wapo active na tayari kwa league?
Aah sawaa kaka me nipoπEbu tungoje na wengine, alafu kuna mechi hatukumalizaπ
Leo mkuu umekaba adi vivuliπSelikavu bando lilikata njiani. Ila mechi zako unanisumbuaga sanaππ₯
Upo vizuri 4312 unaitendea hakiLeo mkuu umekaba adi vivuliπ
Kuna game ya pili nadhani sijatoka na shot hata mojaπ
Inabidi siku mkuu nipate mechi tano ukiwa free za dakika 10
Nadhani nikizipata hizo kwa pamoja nitajifunza kitu...maana nimeshaona direction zangu zipo vibaya sana pamoja na upokeaji mipira na dribbling za kutoka watu... Nadhan kwenye hizo game naweza nikajirekebisha baada ya kuona shida ipo wap ninapopoteza mipiraππ
Wakati mwingine ukiwaacha wacheze wenyewe kubaliana tu na maudhi yaani ndo wanataka wakuonyeshe ufundi wao, wamefanya nimemaliza league nafasi ya 5 π.Waweke kaka hasa kama unacheza Epl game za Aston villa na Wolvesππ
Mkuu naona umefuga kuku wa mayai π.Razorblade matokeo ya leo nimekufungwa game mbili na mpira mkubwa,
nikapiga chafya moja nikapata draw ila baada ya kuongea na Bibi kijijin kule
Hii nimetoka bila hata shot moja πππππππkosa ambalo wewe huwezi fanyaπ
View attachment 3315768
Mbona kama navuja sana au wachezaji sina watu kaziUpo vizuri 4312 unaitendea haki
AI sehemu ya kutoa assist wanapiga chenga mpaka wanapokonywa mpiraπWakati mwingine ukiwaacha wacheze wenyewe kubaliana tu na maudhi yaani ndo wanataka wakuonyeshe ufundi wao, wamefanya nimemaliza league nafasi ya 5 π.