eFootball Special Thread

Unafoka kabisa toa pass umbwaa wewe🀣🀣
 
LBC player in town🀣
 
Unafoka kabisa toa pass umbwaa wewe🀣🀣
Kama ulikuwepo mkuu walikuwa wananikera kama vile nilikuwa naangalia mpira, kuna mechi 1 ilibidi kipindi cha pili dakika ya 70+ nicheze mwenyewe ilikuwa tayari nimefungwa 1-0, nikarudisha goli na mpira ukaisha πŸ˜‚.

Mechi zilikuwa tamu sana, mechi ya mwisho wakashinda 5-0 πŸ˜‚.
 
LBC player in town🀣
Hamna mkuu mimi nitaendelea kutumia QC kama chaguo la kwanza ila mara nyingi huwa napenda kubadiri playstyle kwa kila kipindi hii LBC itakuwa nzuri kwangu hata nikizidiwa πŸ˜‚.

Halafu hata kwenye uhalisia timu nyingi duniani kwa sasa zinatumia QC na LBC πŸ˜‚.
 
Me kuna siku my league nilikuwa nimefungwa alafu alikuwa anaongoza ligi man city


Nikaona nilishalipoteza kombe


Nikaweka AI Control mpk ubingwa nikachukua wajomba walishinda game zote wakati mimi legend wamenisumbua mno
 
Sawaa kaka nzuri hiyo..

Nadhan kwakua unategemea long balls mabeki watakuwa hawatoki sana
 
Me kuna siku my league nilikuwa nimefungwa alafu alikuwa anaongoza ligi man city


Nikaona nilishalipoteza kombe


Nikaweka AI Control mpk ubingwa nikachukua wajomba walishinda game zote wakati mimi legend wamenisumbua mno
Kumbe na kwenye My League ipo, nipo nafasi ya 3 sasahivi nitawawekea hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…