Hilo ni jina la timu mkuu na sio usernameUsername ni pelly
Aje mtu anifunge sina muda.Hilo ni jina la timu mkuu na sio username
Naja mkuuAje mtu anifunge sina muda.
Twende tele kurahisisha kazi au tuma code kabisa maana natumia account nyingine.Naja mkuu
37372299Aje mtu anifunge sina muda.
ππMwambatz mkuuHilo ni jina la timu mkuu na sio username
Acha ufala π
Unaubonda mkuu πππ€ πAcha ufala π
Toa ujinga wako hapa ππUnaubonda mkuu πππ€ π
Ila mkuu kuna muda ukipelekewa moto unavurugana πππππToa ujinga wako hapa ππ
Vijana wangu mko kwenye 10g+Aje mtu anifunge sina muda.
Game 1 nmekupetipeti ππ nlitaka tufungane ila aggregate iwe naongoza goli 2 ππIla mkuu kuna muda ukipelekewa moto unavurugana πππππ
Kuanziaa saa tisa nipo free uje ubebe point zakoCorrie de killer upo saa ngapi
Sote net haikua stable halafu nilikua napoteana kwenye kuswitch dash to matchup(nipo najaribu kuzitumia zote kwenye kukaba)Ila mkuu kuna muda ukipelekewa moto unavurugana πππππ
Umeniacha hapo Mr. P, 10g+?Vijana wangu mko kwenye 10g+
Hivi unajua button ya pass inaguswa kwa mbinde sana ππSote net haikua stable halafu nilikua napoteana kwenye kuswitch dash to matchup(nipo najaribu kuzitumia zote kwenye kukaba)
Ila through ball zako zinatesa sana ππ
Mko kwenye speed, asubui tu tuna kichafuaUmeniacha hapo Mr. P, 10g+?