Mwalimu
Selikavu leo nimewaacha wacheze wenyewe aisee wanapiga mali hatari.
Hii inaleta raha zaidi siku ukiwa umeshinda nyumbani halafu huna movie mpya na hujiskii kucheza game, unawasha smart view kwenye simu unaunga na smart tv yako unakula burudani ๐.
Konami leo asubuhi wameamua kunitunuku coins 130 na kuifanya kazi ya kumpata G.P. Gesperin kuwa rahisi.
View attachment 3314963
Leo ni Gesperin Day.