Jichagulie...😃😃khaaa mbona mmeanza kuninyanyapaa basi mi najichagulia 😎
😃😃😃Pole sana@Edokissy Tuondoke japo leo naona mikosi kama yote, mimi wa kufungwa event kweli
sawaaJichagulie...😃😃
Unatamtaka nani akupe Muongozo mkuu?😃sawaa
We jamaa twende GGR, niliona invite halafu room ikawa full.Agiza pepsi kabisa,
Kwanza kabisa hili ni jukwaa linalohusu Efootball,
ni game la mpira unaloweza kucheza kwenye simu .
Utahitajika kuwa na internet bundle ili uweze kulifurahi kama mkuu apa Depal
Hiyo GGR ni ucheze na watu tofauti ili ujumuishe na kumpata GerardKwani mko wapi nyie embu njoeni tumalizane game 10 za GGR.
SawaWe jamaa twende GGR, niliona invite halafu room ikawa full.
Ndiyo nataka kuanza na wewe.Hiyo GGR ni ucheze na watu tofauti ili ujumuishe na kumpata Gerard
Nafungua game hapa andaa invite au tuma code.Sawa
mi nataka hiyo coca iliyopo kwenye avatar yako,Agiza pepsi kabisa,
Kwanza kabisa hili ni jukwaa linalohusu Efootball,
ni game la mpira unaloweza kucheza kwenye simu .
Utahitajika kuwa na internet bundle ili uweze kulifurahi kama mkuu apa Depal