Unasifiwa hendisamu unaamua kugawa utamu ππWanangu mpo Kasi sana.ππππΎ
Hadi naogopa.
Hamna source ya taarifa ni selfika ππHizi taatifa zipuuzwe. πππΎ
Its chai manπ€£Wanangu mpo Kasi sana.ππππΎ
Hadi naogopa.
Haya tuweke kolabo ya Khalas na Chai Man πRazorblade
Nimekuta sehemu South Africa swala la kuwa finished completely wansema its Chai man means its doneπ€£
Khalas πIts chai manπ€£
Endelea kugawa utamu πSukari ya waremboπππΎ
Ila wananguπ
Unataka kukamia kwa revenge ππIla selfikaπππΎ
Nitalipa kwenye league nimemalizaa
Kwan mpo nchi gani nyie
Wakimaliza update uje uchukue pointπ
Me nagawa point mkuu shahidi RazorbladeMtego huu