Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,632
- 7,126
ByaroNipe username yako nikuadd tupande
Utaona account mpya hapo imekupa requestByaro
ππ me mwema?Unatishia watu kakaπ
Tangu liniππ me mwema?
Game yako si ilikua na warldNa Jana nlim quote hakujibu
Poapoa mkuuUtaona account mpya hapo imekupa request
Nimekutumia mkuu tuguse...Poapoa mkuu
Me nimeuliza tuuπ₯²πTuliaaa bobuuππππ
Watakuwa live sangapi? π mana mi naona tu watu wanapost selewi selewiMkuu kesho wahi kwenda live wakati konami wakiwa live uzingatie kwenye code za kupata free card kwenye pack ya cryuff π
Tunaamka nao asubuhi haoWatakuwa live sangapi? π mana mi naona tu watu wanapost selewi selewi
Kwishaa π huyo Cruyff π₯Tunaamka nao asubuhi hao
Kile kiumbe hapanaKwishaa π huyo Cruyff π₯
Hii phase sijapush..Kile kiumbe hapana
Umefikisha poinys 1900 na ngapi??
Tumeanza kuringishiana bagde sio ππPoints 26 promotion match siku hizi konami wamepunguza uchagaππView attachment 3600733
Eniwei achaneni na loss zangu nimebadilisha formation kama CorrieView attachment 3600735
Upo changanyiken??Hii phase sijapush..
Phase ngumu balaa, nipo div 2 nitacheza kumchukua yule showtime tu
Me siwalingishii sas division one ni kitu cha kusumbua proπTumeanza kuringishiana bagde sio ππ