Sawa. Haina nomaNafasi niliyonayo hapa ni ndogo mkuu.
Wakifika utawaona tu.Nitawarudia usiku, mana nimesikia JF humu kuna waalimu wazuri wa eFootball ๐ฅด๐ฅ๐
Sasa B si form nzuri kabisaHata ribery nae ni B, nilimuweka kwa hisani tu ๐.
Nilishamuachia kitambo tuuMpige chini huyo wa 99.
Sawaa upo coming LBC๐คฃHaya endelea kuchoma coins mie zangu nitachoma kwa Gesperin tu.
Razorblade kazi yako hii kaka๐คฃ๐คฃOya wakuu, aliepo free tuzame akanifundishe mchana nilikosa muda ๐
Usiku kaka mishale ya saa nne nitakuwepo hapa tupeane ujuzi๐๐ila kwangu utajifunza kubutua na kuconcede goal nyingi๐๐Nitawarudia usiku, mana nimesikia JF humu kuna waalimu wazuri wa eFootball ๐ฅด๐ฅ๐
Nipo nakula tizi la kutosha ๐.Sawaa upo coming LBC๐คฃ
Sawaa kaka endelea kula me nitaamia possession games sio mudaNipo nakula tizi la kutosha ๐.
Huko mie hapana bora nipossess kwa kutumia QC.Sawaa kaka endelea kula me nitaamia possession games sio muda
Mshindi anapigwa Ban๐๐ kama zawadiEdo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
๐๐๐
View attachment 3314327
Yani kupigwa ban ndo iwe zawadi ๐.Mshindi anapigwa Ban๐๐ kama zawadi
Nataka nijaribu tuuHuko mie hapana bora nipossess kwa kutumia QC.
Eeh uende ukapunzishe kichwa๐๐Yani kupigwa ban ndo iwe zawadi ๐.
Managers unao wangapi?Nataka nijaribu tuu
Alonso anayoManagers unao wangapi?
Hiyo mbaya ๐.Eeh uende ukapunzishe kichwa๐๐