Wengine tu add tu jumla jumla
I'm in broActive member tuwajue tulete league soon
I'm in broActive member tuwajue tulete league soon
Mbona Depal hujamjumuisha? Muweke akatoe GD nyingi 😂😂😂Active members
League registration
Razorblade
lestone
Warld
Corrie de killer
NEGAN
Alexander Lukashenko
Gilberto_
Kandambili1
Edo kissy
Nawajua nyie hamna wema kabisa...
Atapata win kwangu kama kawaida.Nawajua nyie hamna wema kabisa...
Kama Lestone ashaanza kulilia game ya kwanza apangwe na Depal
😂😂 Abee
Ntakuja kuwaangalia😂Atapata win kwangu kama kawaida.
Mjumuishe hapo apate changamoto mpya 😂
Wanataka nijute.. nikome kuwazoea km nilivyozoea kina AINawajua nyie hamna wema kabisa...
Kama Lestone ashaanza kulilia game ya kwanza apangwe na Depal
Umechapwa na nani? Usinambie AI wamekufunga😂😂😂🙌😂😂😂
Kwa hakika ndugu yangu, hasa baada ya kuniambia na commentary nayo ni download, pia baada ya kupata vichapo viwili mfululizo mood imekata kidogo😁😁
Ila I will back stronger again
Nita revive battle again na huku kama DLS💪🏿💪🏿
Embu toka huko 😃😃Atapata win kwangu kama kawaida.
Mjumuishe hapo apate changamoto mpya 😂
Hakutakii mema huyo😂😂 Abee
Aah we komaa na AI wako😃😃Wanataka nijute.. nikome kuwazoea km nilivyozoea kina AI
Unataka ujipatie mwanafunzi😃😃Umechapwa na nani? Usinambie AI wamekufunga😂😂😂🙌
Hapana tunakuhitaji kwenye ligi 😂Ntakuja kuwaangalia😂
Acha basi 😂Embu toka huko 😃😃
Humu tuu 😃😃Daah atleast Arsenal are out