Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,917
- 12,345
Nitakushangaza πSasa nimemuelewa alipo sema yupo likizoππππΎ,
Ur prisoner π
Ulikimbia ndo unajirejesha πMkuu samalekoπ
Nikiweka mambo hadharani mtaona wivu π€£π€£π€£Nimelia sana si umpeti peti kijana T
HahahaAhsante sana ma mkali π
π€£π€£πSasa nimemuelewa alipo sema yupo likizoππππΎ,
Ur prisoner π
πππUnaendeleaje mkuu vip linapanda au unaona mauza uza bado
Ntakufata unakoshinda nikushangaze ππππNdukiiiππΎ
Mtu asitoke jfππ
Na wakipatana beba kapu ukavune πMwambie wawili wakigombana shika jembe ukalimeπ€£
π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ππ
Ujatupa na kamba kabisaπNikiweka mambo hadharani mtaona wivu π€£π€£π€£
Kaka trust me ukiweka nia unalijua Vizuri tuu na ni bonge la game DLS ikasomeπππ
Kwa hakika ndugu yangu, hasa baada ya kuniambia na commentary nayo ni download, pia baada ya kupata vichapo viwili mfululizo mood imekata kidogoππ
Ila I will back stronger again
Nita revive battle again na huku kama DLSπͺπΏπͺπΏ
π₯Nawasilisha kwenu, JF PREMIER LEAGUE.
hii itachezwa muundo wa ligi za kawaida kama EPL.. ila kwa siku kutakuwa na fixture 1 ambayo mtacheza Home & Away π€
Mthibitishe kuwepo tu, badae night kiwake humu wakuu.
Maoni yenu.. View attachment 3461036
Cc- Alexander Lukashenko // Corrie de killer // Edo kissy // Mill broh // Mr Devil // NEGAN // Razorblade // Kandambili1 // Warld