Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,935
- 12,368
Kuna mtu aliniuliza nitapata vipi mwanamke na muda wote uko busy na game πUtakufa single nyau weweπ
We kaa kwa kutulia likizo yangu ikiisha utajua tu πUnajisahaulisha, fresh mwanetuππΎ
Daah! Hii taarifa mbona sina mkuu ππKana babe inamtaka humu kanaipuuzaπππΎ
Unadeka sana kaka ππKwahiyo ukija kwangu unachapa buti kwingine unawalea π
Basiii kuna nini tena ππ€ π€ π€Hahaha poa kaka, kwenye selection ya mwisho uta mchukua joshua kimich
Nikiumwa mimi hata muda na simu sina ndugu yangu Selikavu anajua π
Jichagulie tusi mkuu ππAtakua Tayanaπππ
Achana na duvet wewe njoo huku unalalaje na hujanionja ππ sa mbona nataka niingie kwenye duvet
NitauaππSelikavu nmekutag lkn sijakutagView attachment 3594404
Upo mkuuNitauaππ
Kuokoka kutokee wapi? Mama mtumishi hawezi vumilia kelele za Batistuta ππAmeokoka? Au mnataka kumponzaππ
Samsung Smart 8 mkuuππSamsung aina gan hii
Selikavu kwani huna remote ya kusogeza siku mbele? πH
Hawezi kuja, akija hawezi kujiteteaπππΎ
Owaaa nina game za league huko nazingojea zijacheza hata moja kakaUpo mkuu
Fala sana πSio kumponza kijana hataki.
Dahπ€£We mandonga
Unamlinda mkeo asichepuke auπ€£Upon free kuanzia saa 4.
Leo nipo lindoπππΎ
Kuwa upande wangu, nitetee huyo kijana ananiandama sana πSi anajua wokovu hana na yule wokovu umejaa π
Tutaarrange tena weekend ππMje basi kule kwa jana wakumcheka tumcheke yaisheπ