Ivi unakumbuka me na wewe ni Derbyπππsema imekosa mvutoπ€£Acha basi sasa kwa ubora gani niliokuwa nao na kila siku unanifunga halafu wewe ndo trainer wake ππ
Yeahππ unamfahamu?
Mlikuwa mnakamianaπAah Warld kama uliscreenshot letaππme leo nilisahau
Ila tumecheza hizi tatuView attachment 3593534
Vile Warld siyo mwema unaweza nenda wewe pamoja na mwanafunzi wako halafu yeye akiwa peke yake na bado akawafunga πππAah Warld kama uliscreenshot letaππme leo nilisahau
Ila tumecheza hizi tatuView attachment 3593534
Kanisumbua mpk ikafika stage ikabid anionee hurumaπππmaana nimegongeshewa miamba acha kabisaMlikuwa mnakamianaπ
Tuma code basi πππ asante kwa doso.. wacha nijionjee Razor kwanza
Tuone na kesho.. ili tukamilishe huu uteteziπHapo ndo huwa napiga mara nyingi, wiki yote hii nimemfunga kwa kupiga hapo, leo kaniotea π
Ni kama ilivyo kariakoo derby kwa sasa, ila kunywa mtori nyama ziko chini πππIvi unakumbuka me na wewe ni Derbyπππsema imekosa mvutoπ€£
Nenda nitumie πππTuma code basi π
Kwa roho yake unaweza sema anaishi bufanka au bugelenga πππHuo wema atoe wap
Kipa wangu kashachanganyikiwa tayari hataki nimapte Luis Diaz mapema πTuone na kesho.. ili tukamilishe huu uteteziπ
We tuma hapa nizicopy π, nimekutumia request mbona.Nenda nitumie πππ
Ila sijakuona kule
Na atakuliza vibaya sana πππ lengo lake anilize
Mkuu tulia basiNa atakuliza vibaya sana π
Kwa heshima ππMkuu tulia basi
Wanasema umeleft roomππWe tuma hapa nizicopy π, nimekutumia request mbona.
ππKwa heshima ππ