Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,258
Miss bebe nimehama π€£MsBeverlyn au MissBebe?
Ipo bana.. na nishakuona πMsBeverlyn
Hii username haipo mkuu
ππ mwambie Seli afanye jamboUnakimbia sana π
Kuna majukwaa yapo mengi tu hko ya userious ungeenda hko huku unatujazia nzi tu.πYan watu wanalalamika mishahara hawaioni hadi muda huu, kuna wengne huku wanaangaika na efootball ππ
Dunia hii hatar sana
Punguza kuchamba tafuta pesa kijana muda haukusubirKuna majukwaa yapo mengi tu hko ya userious ungeenda hko huku unatujazia nzi tu.π
Aah inabid tuandae kesho jumapili tufanye streamingNilikuwa na kazi ya kumaliza matchpass, kukikucha streamers watafanya jambo π
Ndo jina lako la efootball π πIntelli monstrous
Umeweka Ms badala ya Miss ndo maana hawakuoniMiss bebe nimehama π€£
Hapana cheza na trainer akee
Add hiyo MsBeverlyn
Sio mwema kabisa huyoπIpo bana.. na nishakuona π
Nimeota unataka kunipiga goal 20
We hizo hela unazo?Punguza kuchamba tafuta pesa kijana muda haukusubir
Ngoja tujifunze kuokoa kwanza tukiingia Room ni kubutua tuu,π πππ mwambie Seli afanye jambo
Nkuonje..
skukimbiii, nalala sana π€£π€£
Ignore hamuioni kwani mnabishana na mtu jina la hovyo mnadhani atakua mzima kichwanKuna majukwaa yapo mengi tu hko ya userious ungeenda hko huku unatujazia nzi tu.π
Nasikia wana niita Baba fateha, watu wana maneno aisee πNdo jina lako la efootball π π
Kwahiyo leo unamkataa Fateha kakaπ πNasikia wana niita Baba fateha, watu wana maneno aisee π
Kaka mambo ni mengi, nikikaa sawa nitasema siku hizi nina zali la F πKwahiyo leo unamkataa Fateha kakaπ π
Angalia usiende FFUπ π πKaka mambo ni mengi, nikikaa sawa nitasema siku hizi nina zali la F π
Jamaa anatuwaz san huyuππIgnore hamuioni kwani mnabishana na mtu jina la hovyo mnadhani atakua mzima kichwan