Wameleta matumizi saiv๐๐๐kuna vingi vya kununuaAkiba hizo kuna kipindi huwa napata wachezaji halafu unakuta point za develop zimeisha, huwa nanunua kupitia hizo GP.
Tuombe iwe hvyo๐Kesho dah naomba Raphinha asiwe na boosterView attachment 3312980
Mechi zote hizo nilizocheza awamu ya pili niliweka ultra defencive kuanzia dakika ya 1 mpaka 90 ๐.Booster ya Tackling ๐๐๐
Sijafatilia mkuu, ngoja nicheki.Wameleta matumizi saiv๐๐๐kuna vingi vya kununua
Nipe user name yako mkuu ukipata mda tuguseSijafatilia mkuu, ngoja nicheki.
Ukikutana na Edo kissy yeye ni mzee wa Ultra attacking ๐๐๐una mkuta VVD wake namba sitaMechi zote hizo nilizocheza awamu ya pili niliweka ultra defencive kuanzia dakika ya 1 mpaka 90 ๐.
Weka yako mkuu TukuaddNipe user name yako mkuu ukipata mda tuguse
SawaWeka yako mkuu Tukuadd
Mine
Myunani
Sawa
TOSHMILL username yangu na me nakusearch huku tuondokeKama upo twende...
Mkuu mbona tayari ni friends.Nipe user name yako mkuu ukipata mda tuguse
Nilikuwa nipo na Razorblade alikuwa ananikumbusha kuwa kadownload game kabla yangu ๐๐๐TOSHMILL username yangu na me nakusearch huku tuondoke
Amini mkuu nilikuwa nacheza event kule network ilikuwa kipengele sana kwangu, 4G inapanda kwa kubahatisha.Net mbovu umetoka na Agg ya 6 zero
Eniwei form is temporary but class iz permanent...
Ur to way above my class umethibitisha hilo
Nitakubahatisha tena siku๐๐
Mkuu acha basi๐, kwani network kwako ilikuwa sawa?Nilikuwa nipo na Razorblade alikuwa ananikumbusha kuwa kadownload game kabla yangu ๐๐๐
Iliganda wakati tayari tushafungana si ndiyo?Kwangu imeganda mechi ya kwanza mwanzoni tuu baada y hapo ilitulia...
Mkuu acha basi๐, kwani network kwako ilikuwa sawa?
Mkuu kama nitazingizia network leo hapana nimefungwa kihalali kabisa nimezidiwa๐๐Iliganda wakati tayari tushafungana si ndiyo?