Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,872
- 12,228
Mimi sijacheza ku compete nilikua naangalia uhalisia ipi inavutia, Mimi ni mkali wa gemu japo kua sijacheza sana efootball lakin niki install hata sasahiv naweza nikakufunga sana, tena Mimi nachukuaga wachezani wale ambao sio mastaa
Michezo 😂😂
Ndio username?
Poa subiri, japo kua gameplay sio nzuri na wamechaji hawashambulii kimfumoAagh mkuu ebu install apo twende mbili.
Unaomba code kwa jeuri 😂Ukiwa unaanza game unaweza kujua kila mtu anayo mandondocha kama yako 😂😂
warldNdio username?
Analeta ujuaji 😂Michezo 😂😂
Mi nlianza na kucheza kila event na my leagueUnaomba code kwa jeuri 😂
Natoka humu nakupa code telegramAnaleta ujuaji 😂
Tafsiri maana ya hiyo ishara hapo ndo nikichomaanisha kutokana na mkeka ulioandika.Ndio username?
Mie namuombea we muache tu huku ila achunge muda ukimuhitaji awepo.
Khalas
Chafua sana huko ukibeba ubingwa unajiona mwamba 😂Mi nlianza na kucheza kila event na my league
Nimeletee jamaa?Natoka humu nakupa code telegram
Zama kwenye hizi code 28052433Poa subiri, japo kua gameplay sio nzuri na wamechaji hawashambulii kimfumo
Uko njema lakini?mejii bhanaa
Hayupo huyuZama kwenye hizi code 28052433
Kaja kupiga kelele tuHayupo huyu
Niko fresh kabisaa,Uko njema lakini?
Kazi kwel kwelHakuna kuheshimiwa apo mkuu anajaribu kutingisha meza yenye jagermaster
Kwahiyo mpo serious mnataka mkacheze na akina ambangile😃😃Zama kwenye hizi code 28052433