eFootball Special Thread

Depal kukucha nitakuwekea maelezo ya namna ya kuweka match ya kucheza nataka ucheze league ya EPL msimu mzima na team yako ya ChelseaπŸ˜ƒπŸ˜ƒukimaliza mechi zote 38 na game utakua umejuaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Aah hiyo notification achana nayo πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Nilikupa zile setting umeweka??

Alafu pia dogo si yupo atakuongezea ufundi siku ukiendaπŸ˜ƒau humtaki
Kurudi alipo dogo ni mpaka Dec πŸ˜€
Sikukuu zimeisha sahv

Setting za mchana nilimaliza
Sahv nmestuck kwenye hizo button.. kwani huwezi kumslaidisha na screen ya cm mpk utumie button?
 
Depal kukucha nitakuwekea maelezo ya namna ya kuweka match ya kucheza nataka ucheze league ya EPL msimu mzima na team yako ya ChelseaπŸ˜ƒπŸ˜ƒukimaliza mechi zote 38 na game utakua umejuaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ chelsea hawataniponza kweli hata kama ni game, hawaaminiki.!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…