eFootball Special Thread

Tuanze na Setting kwanza...

Ukiwa hapo kwenye Home screen ya Efootball utabonyeza Extras (Inaanza Home then Shop then Academy then Extras)
Itakuja hivi

Chagua game setting...

Then itakuja hivi

Chagua play setting

Then utaweka Setting zako hivi

Depal
 
Ukiweka setting hivi...

Ngoja nikuoneshe namna ambavyo zitatokea kwenye mechi
..

Mpangilio wa Button umegawanyika sehemu mbili kuna ambazo hutokea wakati umeshika mpira na kuna nyingine hutokea wakati team pinzani imeshika mpira


Wakati ukiwa na mpira button zako za uchezaji huwa ni hivi



Kushoton Joystick kwa ajili ya kuchagua uelekeo wa mchezaji pamoja na pass na mashuti ukitaka yaelekee upande gani utumia hiyi...

Then kulia kuna dash hii inatumika kumfanya mchezaji akimbie

Then pass inatumika kwa ajili ya kupiga short passes ambazo jnafika mguuni kwa mchezaji alafu through inatuumika kupiga pass ndefu zile za kutanguliza mbele


Kwenye setting za ukabaji zipo hivi

Ukishapoteza mpira kwenye kugana tunategema Button mbili

Ambazo ni Match up na Dash and pressure


Ukikana kwa kutumia match up lazima utumie na direction yan wewe unachagua mchezaji aende wap kuzuia njia au pass kwahiyo lazima umdirect
Lakn ukitumi dash and pressure unashika tuu bila direction hiyo (joystick) mchezaji anafata mpira mwenyewe...


Hapo sasa ngoja nikuelekeze kwenda training uende kujaribu namna ya kucheza na hizo button
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…