Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,973
- 205,658
Amesuka nywele kwa avatar 😀Wew ambaye hauchezi game kitu gani cha maana umefanya.
Amesuka nywele kwa avatar 😀Wew ambaye hauchezi game kitu gani cha maana umefanya.
Acheni hizo 😀😃😃😃Hii kwa wote
Hakuna sehemu ya kupause kwa sababu anakua anacheza na mtu mwingine online so option ni kutoka kuacha mechi ambapo itahesabika umefungwa😃😃Acheni hizo 😀
Kwani hamna sehemu ya kupose?
Kanabakigi kusema ukiona nmeshika cm landscape nipe muda bwanaa
🤣🤣🤣 aise nimechekaAmesuka nywele kwa avatar 😀
Sasa humu kuna mtu ameshawah kukulilia shida au umemsikia akilalamika kuwa ana maisha magumuKiufupi sna njaa na ndani namiliki PS5 nacheza napopata muda sio kama nyinyi vijana wa efootball njaa tele hamna mbele wala nyuma
Master natak nikujalibu na mini🤣🤣🤣 aise nimecheka
😃boss me hamn ki2 najarib hivy hivyo.Master natak nikujalibu na mini
😀😀 muwe mnacheza usiku basiHakuna sehemu ya kupause kwa sababu anakua anacheza na mtu mwingine online so option ni kutoka kuacha mechi ambapo itahesabika umefungwa😃😃
Usik tena?? Bora mchan ambapo unakuw mbali na home😃😃😀😀 muwe mnacheza usiku basi
Binafsi pia napenda kucheza usiku ila kuna muda mchana nakua sina cha kufanya huwa naingia kucheza😀😀 muwe mnacheza usiku basi
Nakuja huko.. Ukiona CorrieAfrikar 16😃boss me hamn ki2 najarib hivy hivyo.
Username: Mkwai
PoaNakuja huko.. Ukiona CorrieAfrikar 16
Uwende na akili zako timamuMaster natak nikujalibu na mini
Asije akaacha ndalaUwende na akili zako timamu
UniIilie shida mm tasaf, fanyeni kazi achen upumbavuSasa humu kuna mtu ameshawah kukulilia shida au umemsikia akilalamika kuwa ana maisha magumu
Kuacha ndala muhimu😃😃 umekufa Tano unabaki kufanya nini??Asije akaacha ndala