Sio mwema weweTwende mkuu
Mkuu ngoja nianze kukupa maelekezoYeah kuna maelekezo ya kutosha... Ngoja twende kwenye Uzi wetu kule nianze kukupa
Sio mwema weweView attachment 3589806
Niache kaka.Sio mwema weweView attachment 3589806
Naam nipo hapa
Matokeo ninayo yajua ni hayo ya 3 mbili mengine ni AINiache kaka.
😀 NimepataCha kwanza ukifungua game kila siku unaenda kupiga penalty kama ulivyopiga jana pale kwenye daily game box kulia chini.. huwa kuna Rewards nzuri za wachezaji na zawadi nyingine
Desaal alikua ana njaa au😃😃Razorblade mkuu hii nitunzie kwa matumizi ya baadae maana watu husahau.
Eeh kesho tena utapiga huwa ina jirefresh saa 11 asubuhi...😀 Nimepata View attachment 3589863
Nilipomaliza penalty ikaja hii View attachment 3589864
Nikirudi home
Aliniita mi nlikua naandaa mkeka 😂😂Desaal alikua ana njaa au😃😃
Apo aende training ndiyo kuna wachezajiEeh kesho tena utapiga huwa ina jirefresh saa 11 asubuhi...
Kinachofata ni kuenda kuchukua wachezaji wa kuanza nao...
Happ kuna sehemu kama unakua directed uende... Kwenye hivyo viboksi vya chini hapo home hicho cha zambarau sijui nenda hapo kamchukue messi wa kuanza nae...
Then nitamaliza na namna ya kucheza na jinsi ya kuweka settings
Camavinga , Vvd na Trent au??Apo aende training ndiyo kuna wachezaji
🤣🤣🤣Ndo nilimwambia astream akasema ashaanza mechi 🤣🤣ningechek😃😃Aliniita mi nlikua naandaa mkeka 😂😂
Eeh kesho tena utapiga huwa ina jirefresh saa 11 asubuhi...
Kinachofata ni kuenda kuchukua wachezaji wa kuanza nao...
Happ kuna sehemu kama unakua directed uende... Kwenye hivyo viboksi vya chini hapo home hicho cha zambarau sijui nenda hapo kamchukue messi wa kuanza nae...
Then nitamaliza na namna ya kucheza na jinsi ya kuweka settings
Happ ni training 😃😃umeshaenda hukoView attachment 3589916
Nimefika huko
Khalas 😂🙌Kwa hii naona nimekosa comeback🚮🙌🏾
Usitusubiri mkuu we zeeka mwenyewe.Sisi tunawashauri tu fainal uzeeni