Amesuka nywele kwa avatar πWew ambaye hauchezi game kitu gani cha maana umefanya.
Acheni hizo ππππHii kwa wote
Hakuna sehemu ya kupause kwa sababu anakua anacheza na mtu mwingine online so option ni kutoka kuacha mechi ambapo itahesabika umefungwaππAcheni hizo π
Kwani hamna sehemu ya kupose?
Kanabakigi kusema ukiona nmeshika cm landscape nipe muda bwanaa
π€£π€£π€£ aise nimechekaAmesuka nywele kwa avatar π
Sasa humu kuna mtu ameshawah kukulilia shida au umemsikia akilalamika kuwa ana maisha magumuKiufupi sna njaa na ndani namiliki PS5 nacheza napopata muda sio kama nyinyi vijana wa efootball njaa tele hamna mbele wala nyuma
Master natak nikujalibu na miniπ€£π€£π€£ aise nimecheka
πboss me hamn ki2 najarib hivy hivyo.Master natak nikujalibu na mini
ππ muwe mnacheza usiku basiHakuna sehemu ya kupause kwa sababu anakua anacheza na mtu mwingine online so option ni kutoka kuacha mechi ambapo itahesabika umefungwaππ
Usik tena?? Bora mchan ambapo unakuw mbali na homeππππ muwe mnacheza usiku basi
Binafsi pia napenda kucheza usiku ila kuna muda mchana nakua sina cha kufanya huwa naingia kuchezaππ muwe mnacheza usiku basi
Nakuja huko.. Ukiona CorrieAfrikar 16πboss me hamn ki2 najarib hivy hivyo.
Username: Mkwai
PoaNakuja huko.. Ukiona CorrieAfrikar 16
Uwende na akili zako timamuMaster natak nikujalibu na mini
Asije akaacha ndalaUwende na akili zako timamu
UniIilie shida mm tasaf, fanyeni kazi achen upumbavuSasa humu kuna mtu ameshawah kukulilia shida au umemsikia akilalamika kuwa ana maisha magumu
Kuacha ndala muhimuππ umekufa Tano unabaki kufanya nini??Asije akaacha ndala
Atakutana na tosh huko account nishampa yeyeUwende na akili zako timamu
Tunafanya kazi na game tunacheza na huna cha kutufanya.UniIilie shida mm tasaf, fanyeni kazi achen upumbavu
Hahaha anaiheshimisha account huko πππMill broh sio mwema kabisa