SawaaNikienda live nitakuchek
Sasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
Ma mkali game umelishusha tayari?
We jamaa unataka akajifunze kwenye live stream bila kumpa hints hata kwa picha namna ya kuzuia na kushambulia?
Mpe dokezo walau akija live akiona unashambulia/kuzuia ajue umetumia button zipi.
Umeniita mwenyewe
Usijali mejii asipopataka mie ndo napopataka, tenga chakula mezani mie ntakula kwa niaba yake 😂Sasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
Nimekumiss pia mejiii.
Embu fanya kama unatuma screenshot ya game kwanza nione kama umelishusha 😂nisaidie mejiii jamaaniiii.
Leta badge kwanza 😂Sawa mkubwa nikupe code saa ngapi
Sasa code huku mkuu? Embu njoo chimboni kule 😂Code ni muhimu pia mkuu.
We njoo chimbo uone 😂Aghaaaa😂🙌🏾 fresh mwanetu unaruka tuu😂
BadooEmbu fanya kama unatuma screenshot ya game kwanza nione kama umelishusha
Haya ukiwa tayari utasema 😂Badoo
Mkuu.Nakubali
MkuuuMkuu.