eFootball Special Thread

Yani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao πŸ˜‚.

Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara πŸ˜‚.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.

Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia β€œTony kill him” basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema πŸ˜‚.


Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Daah division 3 uwanja wa vita. Ukifika hapa lazima upumzike kwanzaπŸ˜…. Nikifika hapa naweza nitulie kwanza hata week ndo nianze kucheza
 
Kuna vitu viwili nataka nijifunze toka kwako nadhan vitanisaidia

Kutuliza mpira na kupanga mashambulizi bila kukosea na kukabaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwenye mechi za kirafiki ndiyo sehemu ya kujifunza kwahiyo akili yako isiwe kwenye kupata ushindi tu ila kwanza inabidi akili yako iwe umeiandaa kujifunza kutokana na makosa yako na ya mpinzani wako, hii itakusaidia kuwa na utulivu.
 
Kwenye mechi za kirafiki ndiyo sehemu ya kujifunza kwahiyo akili yako isiwe kwenye kupata ushindi tu ila kwanza inabidi akili yako iwe umeiandaa kujifunza kutokana na makosa yako na ya mpinzani wako, hii itakusaidia kuwa na utulivu.
Nitajitaid niwe najifunza niache kukamia sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitajitaid niwe najifunza niache kukamia sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama mechi ya kwanza ulikuwa ukija na moto nikipokonya mpira natafuta mchezaji aliyefungua tunagonga, hata goli nilokufunga nilikulazimisha ufanye makosa ndani ya box na ndo najisikia raha sasa nikishinda kwa namna hiyo hata ungekuwa umenifunga zaidi ya goli 2 πŸ˜‚.
 
Ndo maana nimesema raha yangu utoke bila goli maana unanitafuta makosa kila mechiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…