Corrie de killer
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 240
- 736
Ninashida nahizi treasure link kwenye account yangu ya pili inabidi kesho tufanye jambo kama haupo online sasaOkay nipe username yako
Kuna kitu kinaitwa treasure link hii ukiichukua unapata zile chance deals za kujaribu bahati ya kupata wachezaji zaid ya 80...
Nipe username yako then ingia online utaona invite pale juu ya friend accept then nitakuinvite room join... Tutaenda kwenye match hatuchezi na usikabe me nitafunga goli moja match itaisha then utaanza kupewa rewards zako kuwa mtulivu kuna moja itakuja ya hiviView attachment 3467102
Ikija usibonyeze next bonyeza kati kati ya hilo box la Gold itafunguka ndani chini kabisa pemben wameandika acquire utabonyeza watakuuliza kama ufanye favorite utakubali au utakataa haina shida....
Tutaenda match tatu zote zikiisha fanya hivi ukizipata zote tatu ludi hapa nikupe maelekezo mengine sasa
Nipo sema simu yangu ina tatu kaka kesho tutafanya jamboNinashida nahizi treasure link kwenye account yangu ya pili inabidi kesho tufanye jambo kama haupo online sasa
Sawa haina nomaNipo sema simu yangu ina tatu kaka kesho tutafanya jambo
Twende telegram nimekuonaSawa haina noma
wachezaji Wana omba maji ya kunywa π¦Dah π
Dunia inaenda kasi sana imagine now chawa Luka naye anatumia VPNπππwachezaji Wana omba maji ya kunywa π¦
ampigie mama samoa j ππDunia inaenda kasi sana imagine now chawa Luka naye anatumia VPNπππ
πΉπΉtelegram na group zangu niili zikimbia ili niende mbinguni sasa utakuaje nikirudi tenaWakuu tumefika wanne Telegram mje mje
NEGAN Edo kissy Mill broh Kandambili1 Warld Mr Devil na wengine...
Link hii hapa
JF Champions League
WALL OF CHAMPIONS The Conqueror πππ Gilberto π Selikavu π π Mr Devil π Neganπ Coop π Kandambili &Elynxvi π Fair play Award Corrie De Killerπt.me
Kama huna Telegram download kisha download Vpn hii hapa Playstore 1.1.1.1.1 ili uweze kujiunga utawasha VPN ndo uweke namba ili utumiwe verification code then ukipata njoo group utakuta Proxy utaunganisha then utafuta VPN utaendelea kutumia Telegram kama kawaida...
We jikaze kaka me mwenyewe niliikimbia Twitter (X) kisa VPN na ndo Imefika na hukuππππΉπΉtelegram na group zangu niili zikimbia ili niende mbinguni sasa utakuaje nikirudi tena
Shetani aende mbinguni amesahau nini? ππππΉπΉtelegram na group zangu niili zikimbia ili niende mbinguni sasa utakuaje nikirudi tena
Huyu Edo kissy huenda kafichwa na waifu material maana hata like zake hazionekani πWe jikaze kaka me mwenyewe niliikimbia Twitter (X) kisa VPN na ndo Imefika na hukuπππ
Dah! Hili jina jipya limenichekesha sana, ulichowaza kichwani unajua mwenyewe πWapo busy wamefungiana ndani na waoππ
Hili jina ganiπWapo busy wamefungiana ndani na waoππ
@Selikavu amepindaπDah! Hili jina jipya limenichekesha sana, ulichowaza kichwani unajua mwenyewe π
Usisahau tumecheza game 2 na tumefungana πππ
Matokeo mechi ya kwanza Benfica 2-1 Santos, mechi ya pili Benfica 1-2 Santos
NEGAN Gilberto_
Waliozima JF wamenizuia kuvimba, oyaaa fanyeni mje telegram bhana mnazingua na nyie πππ
Kwan hiyo game uliyonifunga iliisha kakaπππDah! Hili jina jipya limenichekesha sana, ulichowaza kichwani unajua mwenyewe π
Usisahau tumecheza game 2 na tumefungana πππ
Matokeo mechi ya kwanza Benfica 2-1 Santos, mechi ya pili Benfica 1-2 Santos
NEGAN Gilberto_
Waliozima JF wamenizuia kuvimba, oyaaa fanyeni mje telegram bhana mnazingua na nyie πππ