Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,943
- 12,380
Nikishindwa naweka AI control πWanazibua hao utaleta mrejesho hapa ππ
Mimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigieππMm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
dah ww unaonekana masta snaMimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigieππ
Naonekana tena mkuu wakati me mtu wa kawaida sanaππdah ww unaonekana masta sna
Ahh nmesoma soma coments humu unatisha sanaNaonekana tena mkuu wakati me mtu wa kawaida sanaππ
Mkuu wasiwasi wako tuuππAhh nmesoma soma coments humu unatisha sana
Utauponza πdah ww unaonekana masta sna
Dadeki Umeni fedhehesha sana leo tupamdeππππ₯π₯Wewe hamna kitu bhana πππ
Mkuu samahani aiseh nlipitiwa na usingizi ndo nashtuka muda huu...nitaomba tucheze leo muda wowote.Ni balaa bado mapemaπ
Dream league game lakitoto arafu baya sana...Dream League Soccer ndio habari ya mjini.
Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hiviKikosi changu cha mwisho kukitumia nimebonda sana wahindi online match wanaquit πna hio formation ya 4222 ya Rafael Benitez.
Ilikua mwendo wa counter attacking football tu. Nilikua na asrosto nalo balaa sasa tangu nihisi account yangu wameshaifuta mzuka nalo umepotea.View attachment 2812465View attachment 2812466View attachment 2812467
Niko hapa kaka humu vibonde tupo wawili tu,Mimi na Razorblade πMm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
ππkaka una tufukuzia training yetuMimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigieππ