Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Na ndo kilichomponza, huenda aliamini atapindua meza.Najiulia kwa nini opponent wangu hakukimbiq baada ya goli la 4 nadhani ni ego
π ngoja na mimi nicheze nipo 6 saiv baada ya ku updateBoom π₯ division 3 nimeingia kibabe divison 3 nimempelekea mtu pumzi ya motoπ
ILIVYOKUA HABARI PICHA
Zingatia dakika za magoliπ
View attachment 3310970View attachment 3310971View attachment 3310972View attachment 3310973
View attachment 3310974View attachment 3310975
Dakika ya 60 nikampiga goli la 7. Baada ya goli la saba akaona isiwe kesi πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ
View attachment 3310976
Matokeo
View attachment 3310987
View attachment 3310977
Team yake
View attachment 3310978
View attachment 3310979
Nipumzike sasa divison ntaendelea tarehe 1
View attachment 3310980
Hongera MkuuππBoom π₯ division 3 nimeingia kibabe divison 3 nimempelekea mtu pumzi ya motoπ
ILIVYOKUA HABARI PICHA
Zingatia dakika za magoliπ
View attachment 3310970View attachment 3310971View attachment 3310972View attachment 3310973
View attachment 3310974View attachment 3310975
Dakika ya 60 nikampiga goli la 7. Baada ya goli la saba akaona isiwe kesi πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ
View attachment 3310976
Matokeo
View attachment 3310987
View attachment 3310977
Team yake
View attachment 3310978
View attachment 3310979
Nipumzike sasa divison ntaendelea tarehe 1
View attachment 3310980
Mimi hata nifungwe ngapi sikimbii mechi naona ni sehemu ya kujifunzaππNa ndo kilichomponza, huenda aliamini atapindua meza.
Sehemu ambayo siwezi kukimbia ni kwenye friend match tu ambapo nakuwa naangalia makosa yangu yanakuwa wapi ila huko kwenye dvn au events nikishaona napoteza kwa idadi kubwa ya magoli naachana na hiyo mechi.
Yanini kupoteza muda wakati tayari nishapoteza na kuna mechi zingine za kucheza.
Kwenye dvn nakimbia hakuna cha kujifunza kule zaidi ya kupoteza muda tu, wengi wanacheza kwaajili ya kupata matokeo.Mimi hata nifungwe ngapi sikimbii mechi naona ni sehemu ya kujifunzaππ
Acha kunishawishi basi nishasema sitaki kucheza dvn mpaka baada ya kumalizana na stellenbosch π.Baada ya kubakia kwenye division 4 mara mbili na point zangu 14 leo nimepanda
Nakala imfikie Razorblade ππππ
View attachment 3311090
Hakuna tatizo mkuu, mechi dakika 10.Razorblade na Mill broh leo usiku mkiwa free tupate mechi 2
Malizana kwanza na KONAMI πNEGAN naomba kuhairisha mechi mpaka nitakapomalizana na konami, hawa leo wameyatimba.
Selikavu kama kawaida yako kunipa moto ukanifanya nitengue kauli yangu ya kucheza dvn baada ya tarehe 27 π.
Nilibakiza points 9 kupanda dvn 3 wakati huo bado mechi 5, mechi 2 za kwanza zote nimepoteza sababu ya simu kupigwa katika mechi zote 2 na iliyoniuma zaidi ni ambayo nilikuwa tayari naongoza halafu simu ikapigwa.
Mechi 3 zilizobaki 2 nikashinda ila moja ya mwisho ndo wakaamua kunipiga script yaani 1v1 na kipa zinapanguliwa nyingine zinakula nguzo na mbaya zaidi eti unalenga goli halafu mpira unatoka nje.
Kwa ufupi tu hawa konami hawakutaka niende dvn 3 ila wameyakanyaga.
Hawa leo wameyatimba, tayari nimeshacheza mechi 2 zote nimeshinda.Malizana kwanza na KONAMI π
Si tulikubaliana tunagetemea matokeo ya Zanzibar ππAcha kunishawishi basi nishasema sitaki kucheza dvn mpaka baada ya kumalizana na stellenbosch π.
Komaa mkuu komaaaππNEGAN naomba kuhairisha mechi mpaka nitakapomalizana na konami, hawa leo wameyatimba.
Selikavu kama kawaida yako kunipa moto ukanifanya nitengue kauli yangu ya kucheza dvn baada ya tarehe 27 π.
Nilibakiza points 9 kupanda dvn 3 wakati huo bado mechi 5, mechi 2 za kwanza zote nimepoteza sababu ya simu kupigwa katika mechi zote 2 na iliyoniuma zaidi ni ambayo nilikuwa tayari naongoza halafu simu ikapigwa.
Mechi 3 zilizobaki 2 nikashinda ila moja ya mwisho ndo wakaamua kunipiga script yaani 1v1 na kipa zinapanguliwa nyingine zinakula nguzo na mbaya zaidi eti unalenga goli halafu mpira unatoka nje.
Kwa ufupi tu hawa konami hawakutaka niende dvn 3 ila wameyakanyaga.
Mkuu kama upo twendeMalizana kwanza na KONAMI π
Simu haina chaji kesho mida kama hii tupige 3Mkuu kama upo twende
Sawa sawaa kakaSimu haina chaji kesho mida kama hii tupige 3
Ulimpata??πππhapana kikosi kime kamilika tayari bado kumpata Ronaldinho kwenye legend nikamilike.