eFootball Special Thread

Wewe najua kabisa ulichoka kuwa mteja wangu ukaamua kuingia training ili kufuta uteja na umefanikiwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Me nilikuambia kuwa tunafanana kila kitu ila tu smart assist ndo inatutenganisha kwa kile kipind ndo maana unanifunga...๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Siku niliyowasha nadhani ndo nikakata uteja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Me nilikuambia kuwa tunafanana kila kitu ila tu smart assist ndo inatutenganisha kwa kile kipind ndo maana unanifunga...๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Siku niliyowasha nadhani ndo nikakata uteja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Na wewe ndo ulinisanua maana niliwashaga tu bila kujua ufanyaji kazi wake vizuri ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
C ile ya kuanza mashambulizi na attacking midfielder, pia nitumie 4222 au 4213
Eeh mkuu maana niliona kwenye mechi unapata shida sana kuanzisha mashambulizi๐Ÿ˜ƒnikaona nikupe suggestions ya 4222 au 4312...

Na Kingine now unacheza Long Balls sio possession game au Quick counter wachezaji hawasogei kufata pasi wanakimbilia mbele kwahiyo jitaid uzoee pasi ndefu ni nzuri kwenye kushambulia na kupata muda wa kujiandaa defensively
 
Hata goli 1 tu kwangu itakuwa sherehe ๐Ÿ˜‚

Huyo shetani hanisumbui maana amenifunga baada ya update ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒCheza nae tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ saivi unakaribia nchi ya ahadi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Nitajaribu kuifanyia kazi hiyo 4312 nione kama itanipa matokeo mzurii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ