Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nilikutumia invite, kwa ulivyoweka hivyo ningekupasua πππUnaona sasa umeniongezea kitu shukrani sana mkuu, mpaka 2:30 usiku nilikua najifua tuu kwa ajili yenu.
Mkuu kwa sasa sikuwezi kivyovyote.Nilikutumia invite, kwa ulivyoweka hivyo ningekupasua πππ
Hapana mie noob mkuu.Mkuu kwa sasa sikuwezi kivyovyote.
Kaka ukitaka kujifunza cheza na mimi kibonde mwenzio ,Mkuu kwa sasa sikuwezi kivyovyote.
Mkuu naona unatumia mbinu zote kunivuta ili nijae kwenye mfumo.Hapana mie noob mkuu.
Ili baadae uscreenshot matokeo upost humu sio hahaKaka ukitaka kujifunza cheza na mimi kibonde mwenzio ,
Utazoea tuu we endelea kuchezaπIla wakuu kutumia match up kukaba ni kazi sana kwasababu unapoachia dash tuu mchezaji anasimama na adui anatumia mda huo kupita kama upepo nimejaribu kuitumia kama mlivyoelekeza jana kuigusa pale adui anapokukaribia then unagusa dash haraka aisee, didn't work for me.
πusi sikilize hao yataishia uko ukoIli baadae uscreenshot matokeo upost humu sio haha
Ndiyomaana tunakwambia uwe unacheza friend match, sasa wewe unacheza mwenyewe tu kukujenga utachelewa.Ila wakuu kutumia match up kukaba ni kazi sana kwasababu unapoachia dash tuu mchezaji anasimama na adui anatumia mda huo kupita kama upepo nimejaribu kuitumia kama mlivyoelekeza jana kuigusa pale adui anapokukaribia then unagusa dash haraka aisee, didn't work for me.
Poa nitakuchekNdiyomaana tunakwambia uwe unacheza friend match, sasa wewe unacheza mwenyewe tu kukujenga utachelewa.
Na jambo la ziada ni kwamba tutakupost tu ili ikuume na kukukomaza πππ
Ewaah! Ukinifunga njoo na matokeo unaweka hapa, nikikufunga nakupost ila sitokusema πPoa nitakuchek
Hagombaniwi hata sisi tunajifunza kwa vipigo, unahisi kwa vipigo anavyonipa NEGAN siku nitakayomfunga atakaa kwa amani humu? πππMnavomgombania mgeni sasaππmnataka mmnyooshe kabla hajawa master Kandambili ππ
Uachr kumwambia aongeze speed. Yupo slow sio wewe kaka huwez acha kumsemaππEwaah! Ukinifunga njoo na matokeo unaweka hapa, nikikufunga nakupost ila sitokusema π
Niliyemsema hivyo akanijia kwa fujo na smart assist, nimekoma πππUachr kumwambia aongeze speed. Yupo slow sio wewe kaka huwez acha kumsemaππ
Na umenyooshwa kwel kwelπππNiliyemsema hivyo akanijia kwa fujo na smart assist, nimekoma πππ