Anao ndo anacheza nao...Mkuu
Hauna Adv striker? Hiyo play style n ya moto mno aiseh kama tumecheza wote basi umeona osimhein wangu wa free alivyo na connecting ability
๐ngoja nicheki bado nawatafuta wafitAmna mmoja mpe counter target mmoja mwache na free runs ila hizo through ziwe kwa yule mwenye counter target ndo ana chance kubwa ya kupita na akafunga๐๐
Huyo Vieri mbona humtumii vizuri mkuu๐๐
Mpe counter target Batigoal alafu Vieri akae upande wake ili apige blitz vizur na kama ana ss mpe ss kabisa akibaki nyuma tuu unapiga zako Blitz ๐๐๐
Sijaelewa hii Adv anakuajeMkuu
Hauna Adv striker? Hiyo play style n ya moto mno aiseh kama tumecheza wote basi umeona osimhein wangu wa free alivyo na connecting ability
Ukiona kazi anza na Ss wawili na CF mmoja๐ngoja nicheki bado nawatafuta wafit
Ni lugha tuu adv striker ndo ma goal pocher....Sijaelewa hii Adv anakuaje
Distance does'nt matter wakati anashambulia ila siyo kwenye kuzuia.Hiyo nI LBC kaka๐๐ distance doesn't matter
Hakikisha hakuna nafasi kubwa kati ya mabeki, viungo na washambuliaji.Kwahiyo hapa natakiwa viungo niwapndishe juu kidogo
Hahahaha npo ndani na kandambili zangu.... napaa mkuu nafikiri nipo rank ya laki 140 kwenye pvpUna rank ya ngapi make sure upo ndani ya million moja tuu
Ngija nichukue kocha wa LB uone๐๐Distance does'nt matter wakati anashambulia ila siyo kwenye kuzuia.
Oh kumbe bas afanye kuweka mmoja counter target mmoja amuache wazi wanabalaa haoAnao ndo anacheza nao...
Kwenye language pale ukiweka English kawaida Adv Striker wanakuwa Goal pocher na Pocher wanakuwa fox in the box
Sawa sawaUkiona kazi anza na Ss wawili na CF mmoja
Yan Doue Batigoal na Raphinha alafu Batigoal counter target jaribu na huo
Ngoja tuone aende majaribio kwanza๐Oh kumbe bas afanye kuweka mmoja counter target mmoja amuache wazi wanabalaa hao
Aah! Yani unarudi kumfundisha matumizi ya smart assist ๐๐๐Pia Rodri mpe Deepline ๐๐ ukipata mpira na Pedri we piga through ya nguvu mbele kama una smart assist hilo ni goli hakuna wa kumkamata Batistuta akiondoka๐๐๐
Then sub zao Vier kwa batgoal,, Torres kwa doue na Hazard kwa RaphinhaSawa sawa
Raphina hachezi SS ,iyo position kagoma kukaa๐ ๐Ukiona kazi anza na Ss wawili na CF mmoja
Yan Doue Batigoal na Raphinha alafu Batigoal counter target jaribu na huo
Edo kissy hakutokea mkuu... Leo nabamizwa si chini ya golin6 naona mkuu NEGAN huruma yako itumikeWakuu tunaendelea leo
Mill broh vs Corrie de killer
Alexander Lukashenko vs Razorblade
Edo kissy vs Gilberto_
Warld va Selikavu
Kandambili1 vs NEGAN
Kiwake sasa๐๐
View attachment 3465454
Sasa si ndo mchezo wake๐๐๐Aah! Yani unarudi kumfundisha matumizi ya smart assist ๐๐๐
Mtrain๐๐ yeye na hazardRaphina hachezi SS ,iyo position kagoma kukaa๐ ๐