eFootball Special Thread

Pia Rodri mpe Deepline πŸ˜ƒπŸ˜ƒ ukipata mpira na Pedri we piga through ya nguvu mbele kama una smart assist hilo ni goli hakuna wa kumkamata Batistuta akiondokaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Na kama ungekuwa na mtu kama Guardiola nje mweke maana ana lofted pass kubwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mweke hapo kwa pedri... Akishika mpira Tuu jaza through mbele wai kufunga hiyo ndo link up play sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒjana nimetestiwa na mwanangu mmoja aseee mchezo mbaya sana huo
 
Mr Devil heshima yako mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™Œ


Dakika 12 kwel ulitaka uniue Anyway sijui kipa wangu leo ameambiwa asipoperform hali nyumbanπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™ŒπŸ«‘
 
Haram tactician naona unatoa hoja hapa mtuangamize
 
Ume ona niki tumia CF goal porches wawili mmoja lazima apotee Selikavu
Amna mmoja mpe counter target mmoja mwache na free runs ila hizo through ziwe kwa yule mwenye counter target ndo ana chance kubwa ya kupita na akafungaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Huyo Vieri mbona humtumii vizuri mkuuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mpe counter target Batigoal alafu Vieri akae upande wake ili apige blitz vizur na kama ana ss mpe ss kabisa akibaki nyuma tuu unapiga zako Blitz πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…