Ahaha una tumia play style gani mkuu,Timu yangu kila siku inabadirisha makocha na hakuna matokeo mazuri kama man u yenyewe... haya tumeamua tumchukue na fabio, formation gani nzuri kwa lbc na lb amnayo itaendana na huyu kocha
NdiyoKwamba itakuwa na bahati?
Uwakika😂Huo muda wa kupiga blitz ndo hamna, ila akitrain vizuri wala hapati shida kukufungua ni anaituma tu 😂😂😂
433 ya 2 Cf 1 ssTimu yangu kila siku inabadirisha makocha na hakuna matokeo mazuri kama man u yenyewe... haya tumeamua tumchukue na fabio, formation gani nzuri kwa lbc na lb amnayo itaendana na huyu kocha
Napendelea lbc mara nyingiAhaha una tumia play style gani mkuu,
Kaka unatunza coin aseee😃🙌 yan umetumia 750 na bado zipoTimu yangu kila siku inabadirisha makocha na hakuna matokeo mazuri kama man u yenyewe... haya tumeamua tumchukue na fabio, formation gani nzuri kwa lbc na lb amnayo itaendana na huyu kocha
Jaribu LB sasa LBC si umetumia kwa MartinezNapendelea lbc mara nyingi
Batistuta, mbape na messi ni combo nzuri nikiwawek pale mbele wote433 ya 2 Cf 1 ss
Niliwahi tumia coin 900. Kuspin kwa mara moja nikatok hola, toka siku hiyo nimeacha kuspinKaka unatunza coin aseee😃🙌 yan umetumia 750 na bado zipo
Aah nilienda kuangalia kikosi chako cheza 433 ya trent cheza na back 3 ya Silivester Kama LB na Tony Adams, Vvd na Cannavaro... Kama CBs.Batistuta, mbape na messi ni combo nzuri nikiwawek pale mbele wote
Upo vizuriNiliwahi tumia coin 900. Kuspin kwa mara moja nikatok hola, toka siku hiyo nimeacha kuspin
Hao ma AMF wako waweke kama Ss😃Niliwahi tumia coin 900. Kuspin kwa mara moja nikatok hola, toka siku hiyo nimeacha kuspin
Mess yuko slow sana kwa LBCBatistuta, mbape na messi ni combo nzuri nikiwawek pale mbele wote
Noted.. sema konami wananiletea watu wa rate ya 3190 na kuendeleaAah nilienda kuangalia kikosi chako cheza 433 ya trent cheza na back 3 ya Silivester Kama LB na Tony Adams, Vvd na Cannavaro... Kama CBs.
Then katikati cheza na Rodri, Pedri na Makelele,, Rodri DMF awe na Deepline na makelele CMF na Pedri mpe pia DMFi. Ili afanye link up play na Batistuta...
Mbele yao kdg mweke Hazard kama Ss
Mbele mweke huyo Batistuta na Raul
Batigoal na Pedri wape link up play
Then jaribu kucheza
Hazard bado sija muongeza SS position natumaini Nakata atajaribu.Hao ma AMF wako waweke kama Ss😃
Mkuu hakikisha unatafuta playstyle 1 kwanza halafu ifanyie kazi vya kutosha ila ukiwa unahangaika hivi utachelewa kupata matokeo unayotaka.Timu yangu kila siku inabadirisha makocha na hakuna matokeo mazuri kama man u yenyewe... haya tumeamua tumchukue na fabio, formation gani nzuri kwa lbc na lb amnayo itaendana na huyu kocha
Tatizo lingine ni hili, kuna umbali mkubwa kutoka kwa viungo kwenda kwa washambuliaji, transition haiwezi kuwa effectively wakati wa kushambulia na kuzuia.Hazard bado sija muongeza SS position natumaini Nakata atajaribu.
Kwahiyo hapa natakiwa viungo niwapndishe juu kidogoTatizo lingine ni hili, kuna umbali mkubwa kutoka kwa viungo kwenda kwa washambuliaji, transition haiwezi kuwa effectively wakati wa kushambulia na kuzuia.
silivester mpe instructions ya defensive 😃😃😃moja inayobaki mpe makelele😃😃Hazard bado sija muongeza SS position natumaini Nakata atajaribu.
Hiyo nI LBC kaka😃😃 distance doesn't matterTatizo lingine ni hili, kuna umbali mkubwa kutoka kwa viungo kwenda kwa washambuliaji, transition haiwezi kuwa effectively wakati wa kushambulia na kuzuia.