Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
CF blitz curler, najiuliza huo muda wa kupiga blitz anautolea wapi? πKipi spesho kilichoongezeka kwenye game lako? Mana umechangamka mno sikuizi π
Una taka kuja kuleta ushuhudaππKipi spesho kilichoongezeka kwenye game lako? Mana umechangamka mno sikuizi π
02997655Nipo tuma code tu
Upo???Amna opponent anae taka kula kichapo kabla ajaenda kwenye lig
Labda humwonagi akitoka Razorblade anafata huyu jamaaπππKipi spesho kilichoongezeka kwenye game lako? Mana umechangamka mno sikuizi π
Si account mpya manUnabet mwenzio apate epic watatu wakati wewe uliambulia upepo πππ
Gilberto amepata Blitz ya Sablozai lini uliza kama amewai nifunga blitz π€£π€£π€£CF blitz curler, najiuliza huo muda wa kupiga blitz anautolea wapi? π
Naona tigo leo inanigomeaCorrie de killer kama hauna net tuguse kesho basi
Poa tuguse kesho kakaNaona tigo leo inanigomea
Nimeshafungua, kesho nakucheki unipe mifumoFungua account nyingine mkuu tutakuelekeza namna ya kulink kabisaπ
Then utanitafuta hapa jukwaani niende kukupa treasure link ya chance deals ili ujaribu bahati yako pale kwenye Epic
Pw pwNimeshafungua, kesho nakucheki unipe mifumo
Nilikuwa nataka nikutafute tangu jana ila bahati nzuri nikapitiwa na usingizi πBado najinoa wakuu huku naingia humu kuongeza maujuzi baada ya miezi miwili nitakua nawabonda kama ngoma nyote, trust me.
Kwamba itakuwa na bahati?Si account mpya man
Wote tukipoa hakupendezi πLabda humwonagi akitoka Razorblade anafata huyu jamaaπππ
Wanaongea kinoma hawaa na watakupatisha moto ujae π€£ π€£ π€£
Huo muda wa kupiga blitz ndo hamna, ila akitrain vizuri wala hapati shida kukufungua ni anaituma tu πππGilberto amepata Blitz ya Sablozai lini uliza kama amewai nifunga blitz π€£π€£π€£
Blitz is not for everybody π€£