eFootball Special Thread

Nilicho learn kwenye ili jukwaa ni kuzingatia playing style na sifa za kila mchezaji ,zamani nilkua naangalia form tu na position me naweka

Ila bado sijapata kipa wa kueleweka ter stegen na courtous hapa kati wame nilisha mchanga sana , Wana fungwa magoal ya njee ya box mengi
 
πŸ˜…πŸ˜…rodri naona kama yuko slow ana ingiaga sub
Me nataka Anchorman pale kati... Au destroyer nikimpata mmoj wapo nimememaliza kazi...

Orchestor ni wa kucheza Double Pivot sio peke ake navuja mnoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ndo maana bora aanze Rodri na Mwendo wake wa taratibu...

Orchestor labda Kimmich hata pep Guardiola ana Defensive awareness ndogo kwa kimmich
 
Ngoja na mimi nimjaribu rodri wangu tchouameni naona hajui kupiga pass
Sasa si una beckham MkuuπŸ˜ƒπŸ˜ƒalafu kwa formation yako mbona Touchmen anaweza mkabia Beckham akampa pas Beckham asambaze upendoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Tchoumen ni Anchorman haswaaa
 
πŸ˜…πŸ˜…
 
Boom πŸ’₯ division 3 nimeingia kibabe divison 3 nimempelekea mtu pumzi ya motoπŸ˜ƒ
ILIVYOKUA HABARI PICHA
Zingatia dakika za magoliπŸ˜ƒ


Dakika ya 60 nikampiga goli la 7. Baada ya goli la saba akaona isiwe kesi πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ


Matokeo





Team yake




Nipumzike sasa divison ntaendelea tarehe 1
 
Mkuu hongera sana, idadi kubwa ya magoli kuwahi kushinda huko dvn ni goli 4 kwa 0 ila jamaa alikimbia kabla kipindi cha kwanza hakijaisha πŸ˜‚.
 
Wakati naanza kucheza hili game nilikuwa napanga kikosi kwa mapenzi na siyo kimbinu, shukrani ziende kwa NEGAN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…