Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,555
- 11,359
Hamna noma ila nitabunu mbwinu tu ๐Hizo zinazuiwa kwa kucheza defensive Fullbacks kama Selikavu ukitumia defensive Fullbacks hakuna winga ataefurukuta.
Pole sana๐๐Tangu hapo kabla haya magoli ndiyo udhaifu wangu mkubwa, kabla ya update hii kuna jamaa alinielekeza ila hii bado sijajua nazuia vipi ๐๐๐
Edo hajatokea kabisa leo kwan
Sijamuona.Edo hajatokea kabisa leo kwan
Aisee.Nitaingia sehemu ya Mr devil ili tubalance idadi ya number
Game za nyuma sitocheza wakuu Edo kissy na Corrie de killer
Msimamo huu hapaView attachment 3463324
Game za kesho hizi hapa
Ambao hamjacheza Mill broh na Gilberto_ bado mna room ya kucheza match yenu
Warld haonekani sijui kaenda wap
All in all NEGAN am coming once again ๐๐sema hii utanifunga sina kocha ๐๐
Possession game mpira mmoja mgumu sana siuwezi
View attachment 3463325
Nakutana na mbaya wangu mapema sana๐ bodi ya ligi iingilie kati hii ni hujuma๐Nitaingia sehemu ya Mr devil ili tubalance idadi ya number
Game za nyuma sitocheza wakuu Edo kissy na Corrie de killer
Msimamo huu hapaView attachment 3463324
Game za kesho hizi hapa
Ambao hamjacheza Mill broh na Gilberto_ bado mna room ya kucheza match yenu
Warld haonekani sijui kaenda wap
All in all NEGAN am coming once again ๐๐sema hii utanifunga sina kocha ๐๐
Possession game mpira mmoja mgumu sana siuwezi
View attachment 3463325
Corrie de killer // Mill broh ๐ฅดNitaingia sehemu ya Mr devil ili tubalance idadi ya number
Game za nyuma sitocheza wakuu Edo kissy na Corrie de killer
Msimamo huu hapaView attachment 3463324
Game za kesho hizi hapa
Ambao hamjacheza Mill broh na Gilberto_ bado mna room ya kucheza match yenu
Warld haonekani sijui kaenda wap
All in all NEGAN am coming once again ๐๐sema hii utanifunga sina kocha ๐๐
Possession game mpira mmoja mgumu sana siuwezi
View attachment 3463325
Edo kissy na Corrie de killer nitacheza na nyinyi kesho wakuu mtanipa ratiba tuu muda gan mtakuwa free me jobless masaa 24 nipo free tuu
Hapana nimewaambia sitochezaMatch ilio miss ni ya Corrie de killer ila ya Edo bado ipo valid hadi leo
Sina kocha saiv ๐๐ possession game kuna vitu haina kwa ajili yangu ila kazi itakuwepo kwako haitokua easy Win๐๐๐Nakutana na mbaya wangu mapema sana๐ bodi ya ligi iingilie kati hii ni hujuma๐
6 men wall๐ itabidi nicheze anti counter tu๐Sina kocha saiv ๐๐ possession game kuna vitu haina kwa ajili yangu ila kazi itakuwepo kwako haitokua easy Win๐๐๐
Leo nitakuwa katika peak ya Uviziaji๐คฃ๐คฃ๐คฃ6 men wall๐ itabidi nicheze anti counter tu๐
Ucheze mechi zako kaka๐๐๐
Saa ngapi unakuja kuchukua points zako
Una taka upige comeback ๐๐Hapana nimewaambia sitocheza
Comeback which muda ushaisha๐๐Una taka upige comeback ๐๐