Kwel kaka me mwenyewe nipo hoiTutaendelea kesho๐
Kijana kwa possession upo vizuri nimechukua hint kadhaa kesho ntazifanyia mazoezi.Kwel kaka me mwenyewe nipo hoi
Kuna friend match nimecheza za dakika 15 per game tatu asee zinachosha...
Sema leo mtandao naona umetulia nimeliona soka lako๐๐
Ni halali uwe na badge ya division one๐
Hapana kaka situmiag nasikia inaweza kukost hiyo...Kijana kwa possession upo vizuri nimechukua hint kadhaa kesho ntazifanyia mazoezi.
Uliweka offside trap?๐
Sija screen shot๐ tumedroo 1 kanipiga 1๐. Ukipata muda tupashe mkuu kitambo hatujacheza
Ila Selikavu anakuja moto aisee ๐, tutagusa usiku mkuu, kuanzia saa 4 itapendeza.Sija screen shot๐ tumedroo 1 kanipiga 1๐. Ukipata muda tupashe mkuu kitambo hatujacheza
Matokeo sio kila kitu jana๐๐huo mpira nilichezewa
Umekutana nini mkuu๐๐๐Wazee mbona ghafla kila mtu anajua kudribble kama Messi online? ๐
Oya game limebadilika ndani ya wiki limekua kama mpya๐Mimi sijui mkuu๐
Watu wanateleza kama nyoka ๐ au ndio mambo ya smart assist.Umekutana nini mkuu๐๐๐
Kila la kheri Mkuu๐คฒ๐คฒ๐คฒ๐คฒ๐คฒ๐คฒushindi mmoja hasa game ya tisa na sare moja tunalud division 3Watu wanateleza kama nyoka ๐ au ndio mambo ya smart assist.
Mniombee jamani mechi 2 zimebaki
View attachment 3310944
Ni box to box?Kwenye kikosi chako usi mkose mkata umeme Rice
๐ siku hizi division nachezea for fun maana sipendi kucheza na AI, mambo ya una kaza unafika div 3 afu unarudishwa 6Watu wanateleza kama nyoka ๐ au ndio mambo ya smart assist.
Mniombee wazee mechi 2 zimebaki
View attachment 3310944